Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma

Status
Not open for further replies.
binafsi sina chama lakini hili la prof linachefua, jukumu lake lilitakiwa kuunganisha jamii na si kutenganisha watu kachemka vibaya kwikwi i!

inasikitisha sana kuona kuwa huyu ndiye alikuwa mgombea uraisi.

Kweli yaliyokuwa gizani yote yanawekwa wazi.
 
Mbona mwakyembe anazungumzia? ,nbona Dk slaa aliwahi kusema wakiristo watz msikubali kuonewa? au tatizo limeguswa NECTA? na kama angaligusa MOU hapa ndipo wakiristo wangalikuja juu zaidi
sitaki kuweka ushabiki, naomba toa source ya hayo! Ninachokifahamu viongozi wa kikristo wamekuwa mabingwa wa kuzungumza makanisani juu ya mambo yao, na si kugawa watu kwa misingi ya dini. Tukubali prof. Kateleza, yeye hakutakiwa kuzungumzia hayo!
 
Wapo watu wachache sana waliobakia kutoamini kuwa UAMSHO, JUMIKI, Sheikh Ponda, radio Imaan wote ni CUF, wanachotofautiana ni namna ya kutoka tu ndio maana Prof ameamua kuwawakilisha
 
Haha. Huyo ndio Professa. wakiristo wakiguswa katika heart yao yaani Mkataba wa Kifisadi kati ya Kanisa na Serekali (Serekali kuua shule zao na Hospital zao) na Kuimarisha za Kanisa na Pia Kijiwe cha wakirsito chini ya Ndalichako. hapo mkiguswa huwa wakali

Kwa hili la NECTA nimeshindwa kuelewa kama kweli hakuna namna ya kisheria ya kumuondoa mtendaji mkuu kama imethibitika kuwa anaendesha mfumo wa upendeleo katika mitihani ya kitaifa? Yaani mnataka kutuaminisha kuwa waislam wamegonga ukuta kufikisha madai yao kwenye vyombo husika kuhusu utendaji "mbaya" wa Dr. Ndalichako hadi lifanywe suala la kisiasa? Kama mna hoja, basi muambieni aliyemteua (Rais) amuwajibishe. Au naye mnataka kutuaminisha kuwa hana ubavu wa kumchukulia hatua endapo anafanya ndivyo sivyo pale NECTA?

Hizi kelele zisizo na msingi kuhusu NECTA zikiendelea kama vile hatuna serikali, maana yake nikuwa kuna viongozi serikalini wasiogusika wanaoshirikiana na kikundi au vikundi fulani vya kidini kuendesha mchakato unaolenga kulibomoa taifa hili kwa maslahi yasiyo na mantiki kabisa.
 
huo ndo ukilaza uliopitiliza, ulevi huu wa dini utaharibu taifa letu mpaka prof.

Mkuu waislma wapo very clear na mambo yao.Dunia nzima wapo determined kuitawala dunia.Mtikila alikuwa sahihi sana.Sasa mtaon akina Kova,mwema na waziri wa ulinzi atakavyowamwaga jeshini , misikini kuna mafunzo ya karate mpaka masheikh wengine wanahofu kuwa watapinduliwa.Misikti imejaa vijana wa madrassat wanalishwa propaganda, na mafunzo ya mujaheedin,huku wakiwa wamejazwa majinn,kiasi cha kuwafanya wapende kumwaga damu.Ni Mungu tuu huwa napindua hizi hila.Na mata nyingi huanza kwa kupinduana na baadaye wanamwaga siri zao.

Sasa hivi wanataka pindua Bakwata na baraza la mitihani.Lazima upuuzi wao utavuja vibaya.Nchi za wenzetu sasa wanaua wagonjwa mahosipitali wakipata upenyo.Mtashangaa sana mwananyama yanayoendelea ila ipo siku mtagundua kwanini wataka hospital za serikali ili wajiingize kupitia hii mitandao wanayotaka iweka baraza la mitihani.Shule za wakristu zimechomwa sana ila haziishi,sasa hivi huko Ruvuma wanchoma nyumba kabisa,wanawaambia watu wao wajitenge na Wakristu ili waweze wamaliza kirahisi.


Hii ni dini inayoruhuru waumini wao kuuwa makafiri hata pakiwa na waislam ndani yake wakimini kuwa hao waliokufa nao watapewa thawabu kubwa zaidi.Hii ni dini inayowachoma walio wa Mungu kama vile baba yao shetani achomwavyo jehanum.Ni dini waumini wake wapo tayari wana mikataba na kifo huku wenzao wakiwa namikataba na uhai.Ni dini ambayo haikosi visingizio vya failures zao.Ni dini ambayo wafuasi wake wanakufa kwa ajili ya dini na mtume wao, na si mtume kufa ili kuwaokoa.hakuna tofauti mtu kumbeba punda badala ya punda kukubeba.
 
Kwa hili la NECTA nimeshindwa kuelewa kama kweli hakuna namna ya kisheria ya kumuondoa mtendaji mkuu kama imethibitika kuwa anaendesha mfumo wa upendeleo katika mitihani ya kitaifa? Yaani mnataka kutuaminisha kuwa waislam wamegonga ukuta kufikisha madai yao kwenye vyombo husika kuhusu utendaji "mbaya" wa Dr. Ndalichako hadi lifanywe suala la kisiasa? Kama mna hoja, basi muambieni aliyemteua (Rais) amuwajibishe. Au naye mnataka kutuaminisha kuwa hana ubavu wa kumchukulia hatua endapo anafanya ndivyo sivyo pale NECTA?


Hizi kelele zisizo na msingi kuhusu NECTA zikiendelea kama vile hatuna serikali, maana yake nikuwa kuna viongozi serikalini wasiogusika wanaoshirikiana na kikundi au vikundi fulani vya kidini kuendesha mchakato unaolenga kulibomoa taifa hili kwa maslahi yasiyo na mantiki kabisa.

Viongozi wote wa NECTA ni wakiristo pale. hii ilikuwa ndio Target ya Mwalimu nyerere, Malima alipogusa pale Nyerere alihamaki sana. Soma KITABU CHA mwembechai Killing, hadi leo CCM hawajakana kwamba NECTA kimekuwa kijiwe cha Kanisa kuwahujumu waislam. Ukitaka ufauku vizuri weka Jina lako kama Frnasis, hapo NECTA watashindwa kukujua
 
Mh Lipumba juzi Ijumaa alikuwa katika msikiti wa Haq huko Morogoro na kuwataka waislam kutorudi nyuma kuhusu kudai madai yao ya msingi hapa tz
i)Kuitaka CCM kutekeleza ahadi yake ya mahakama ya Kadhi
ii)OIC kwani alidai OIC inafaida kubwa katika uchumi wa nchi akatoa Mfano Uganda na Msumbiji.
ii)Mabadiliko katika baraza la Mitihani (NECTA) kuwa taaisi ya Umma na sio Taaisi ya Kanisa kama ilivyo hivi sasa.
Aliwtaka waislam wasiogope vitisho vya dola kwani wakiiogopa haki zao zitaendelewa kupigwa dana dana.


HONGERA LIPUMBA. MUPO VIONGOZI WACHACHE MNAUJUA UKWELI. SIO MAPKA SHULE ZA WAKATOLIKI ZISHIKE MKIA NDIO BAADHI YA WANASIASA WAANZE KUONA UBAYA WA NECTA.

TUNAOMBA UICHAMBUE HILI DUDU LA MOU LINALOWAFANYA WAKATOLIKI WASHIKE NAFASI 10 BORA ZA NECTA

Hivi wewe ndiye shekhe Ponda?
 
Wapo watu wachache sana waliobakia kutoamini kuwa UAMSHO, JUMIKI, Sheikh Ponda, radio Imaan wote ni CUF, wanachotofautiana ni namna ya kutoka tu ndio maana Prof ameamua kuwawakilisha

hta TEC imevamiwa na CHADEMA. ndio mana unawakisikia Kimya wabunge wa Chadema kuhusu NECTA. ukikia Shule za TEC zimeanguka au MOU ya serekali na kanisa imefutwa, hapo Chadema ndio utawasikia wakiwashambulia NECTA na ccm
 
Muanzisha thread umeng'ang'ania NECTA ni taasisi ya wakristo na kwamba mmekuwa mkifelishwa kwa makusudi,naomba unijibu hili,juzi hapa kulikuwa na uchaguzi somalia na kati ya vigezo ili kuweza kuchaguliwa ilikuwa uwe na kiwango fulani cha elimu,wengi kiliwatoa waliobahatika ni wale waliokuwa wameishi ughaibuni,Swali langu NECTA yetu ndio inayowanyima waislamu wa somalia Elimu???????
 
Mkuu nilijua utasema hivyo. lkn siku serekali itapobadili NECTA na kufuta MOU ni wazi Bunge litafuka MOTO

Ningekuwa kiongozi wa makanisa ningepull mkataba na kutangaza hadharani kuwa tunataka review na hiyo review itahusu pia kujitegemea zaidi kwa hizo hospital.ila huduma zitakuwa kwa wote.Hapo utaona jinsi CCM itakavyokuwa ndogo na hao masheikh hawataacha unafiki na maneno ya hila ila watajikuta wakikiri vitu vingi kwa unyonge.Italazimisha kauli ya serikali na misikiti hadharani.

Kwa jinsi walivyo na magonjwa ya gharama kama sukari,itokanayo na vyakula vya sukari na mafuta walavyo sio siku nyingi utasikia akilia gharama.Ndipo watakapoambiwa wakapate majibu kwa ponda na prof wa uchumi.
 
cHADEMA HII ? SIAMINI

kwani nani kakuambia uamini Chadema?CCM-Islam,CUF-islam au mwingine?Uislam ni shida duniani,unachokwepa ni nini?badala ufikie uanze jifikia kama upo ktk dini sahihi? unajitahidi ficha huu ushetani.
Every muslim is a potential terrorist, ama kwa uongo wa kupumbaza wasio waislam ama kwa jihad namauaji.Mtikila is right sasa tunaona waislam wa CCM,CUF na wa Chadema na waliopo polisi,UWT,kweny miahdhara, na miskitini na mashirika mengine ya serikali wakiongea lugha moja.

Mungu aliye mkuu atawaumbua dakika za mwisho kama walivyofanya polisi wasio jua kuwa wanafanyia uislam kazi katk mpango wao mkubwa unaohusisha kuuza hadi wanyama wetu.
 
Kwa hali ilivyo na soko huria la sasa ni ngumu sana kwa ndugu zangu muhamadans kushinda au kuwa mfano kwa chochote.laiti wangalijua adui wao ni wao wenyewe.
 
Kama rais, makamu wa rais, waziri wa elimu, hawatoshi , mkurugenzi wa necta nani?.
Baadae itakuwa wasimamizi madarasani, then wasahihishaji, lastly wabandika matokeo kwenye mbao za matangazo
 
haya ccm waliwatumia ndg zetu waislamu kama mtaji wao .... Sasa cuf nao wametumia mbinu ya mdau wao....... Mkikubali kuyumika nawapa pole......

Sultani lipumba oyeeeeeeeeeeeeee mgombea wa kudumu wa uraisi cuf
 
shetani kweli ana watu wake wanaomtetea!
tz ni nchi pekee afrika ya Mashariki inaziua shule zake na mahospital ili kuziimarisha za Makanisa.
Leo serekali inafurahia hospital zake kukosa dawa lakni pesa MOU kupelekwa makanisani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom