Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma

Status
Not open for further replies.
Mh Lipumba juzi Ijumaa alikuwa katika msikiti wa Haq huko Morogoro na kuwataka waislam kutorudi nyuma kuhusu kudai madai yao ya msingi hapa tz
i)Kuitaka CCM kutekeleza ahadi yake ya mahakama ya Kadhi
ii)OIC kwani alidai OIC inafaida kubwa katika uchumi wa nchi akatoa Mfano Uganda na Msumbiji.
ii)Mabadiliko katika baraza la Mitihani (NECTA) kuwa taaisi ya Umma na sio Taaisi ya Kanisa kama ilivyo hivi sasa.

Aliwataka waislam wasiogope vitisho vya dola kwani wakiiogopa haki zao zitaendelewa kupigwa dana dana.

HONGERA LIPUMBA. MUPO VIONGOZI WACHACHE MNAUJUA UKWELI. SIO MAPKA SHULE ZA WAKATOLIKI ZISHIKE MKIA NDIO BAADHI YA WANASIASA WAANZE KUONA UBAYA WA NECTA.

TUNAOMBA UICHAMBUE HILI DUDU LA MOU LINALOWAFANYA WAKATOLIKI WASHIKE NAFASI 10 BORA ZA NECTA

Aliyetangulia katangulia, badala ya KULALAMIKA kwanini Shule ZA katoliki zina tano bora, jengeni Shule zilizo bora ili zifikie hizo, it is a history, a fact hard fact thought!!!!
 
Akili ndogo inaongoza akili kubwa,wapi tofauti ya mtu wa darasa la saba na huyo profesor??!...waislamu wasomi wameona upumbavu wa profesor muislamu anaminiwa na wapumbavu wengi.
 
kwao kila kitu cha wenzao ni chukizo na kufuru.wakati huo huo mafundisho ya kiislam yote yamejaa kufuru kwa dini nyingine na mizaha ya kutisha.Sijui kwanini duni haijaamka ni kuipiga marufuku kabisa hii dini ya hooligans.Wanafanya kazi kama mchw akuifanya dunia isiwe sehemu ya amani.Sijui kwanini wanapenda abudu Mungu wa kifo na si Mungu wa Amani na uhai.

Lipumba naye anaamini kuwa ataenda pewa mabikra 72 na mashoga 72?Mama Lipumba naye kaahidiwa nini?Kuna dawa inaitwa prozac kama sikosei inaweza saidia dunia kama hawa watu watapewa vidonge kadhaa.Huyu ndiye prof. Sijui naye anachambia mawe?naye analala maiti ya mke akifa?

What is the meaning of this? Kuchambia mawe ndio utu uzima au? This is very funny

Na kulala maiti ndio ustaarabu wa wapi. Wewe mkorakamili umepata vitu vya kwa mama zai nini?
 
Last edited by a moderator:
Aliyetangulia katangulia, badala ya KULALAMIKA kwanini Shule ZA katoliki zina tano bora, jengeni Shule zilizo bora ili zifikie hizo, it is a history, a fact hard fact thought!!!!

Shida hapa ni elimu.

Kwenye maendeleo, wivu ni muhimu. Lakini wivu upo wa namna mbili, upo wa maendeleo na wivu wa kijinga. Wivu wa maendeleo huchochea maendeleo, kwa maana aliye nyuma hutamani kumpita wa mbele na akishakuwa mbele hukazana ili asipitwe na wanyuma.

Wivu wa kijinga unaleta umaskini, chuki na ghubu. Wanaume wanakuwa na mawazo ya jikoni na kunung'unika hutawala. Mwenye wivu wa kijinga hukazana, sio kuongeza mwendo ili ampite wa mbele, bali kumchukua wa mbele na kumrudisha nyuma ilhali yeye yupo pale pale. Akishamrudisha wa mbele nyuma, hafanyi juhudi yeyote ya kusogea, bali hukaa tuli kama juha kushangilia kuwa yeye ni wa mbele.

Wito kwa Wakristo popote Tanzania. Kila inapoitishwa HARAMBEE ya jambo lolote la maendeleo, tujitoe kwa moyo kama vile imani yetu ya ushirika inavyotuongoza.

Tusiwe majuha kama mtu atoaye $3.3m kumazawadia mtu atakayeua binadamu mwenzake ilhali jamii yake ina matatizo mengi ya afya na elimu na haina msaada.

Ni kweli mwizi ameiba na hatumpendi mwizi, lkn kama Mkristo usitoe mchango kwa ajili ya ununuzi wa mafuta ya kumchomea mwizi, badala yake toa kwa ajili ya matibabu ya ndugu na jamaa wengine wenye kansa, njaa na fadhaa.
 
Huyu bwana ni lazima atakuwa na nia ya uchochezi wenye lengo la kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini. Mwanasiasa anayefilisika kisiasa huanza kutumia vitu kama Udini,ukabila n.k. kama mtaji wao wa kisiasa. Wanasiasa wa aina hii ni wa kuogopwa kuliko ukoma. Nchi alizozitaja bado ni masikini wa kutupa. mfano: Uganda kimaisha ni wachovu hata kuliko sisi. Sasa hiyo OIC imewainua kivipi. Tungetarajia wawe Dubai ya Afrika mashariki.
 
"Uprofesa" haumzuii mtu kusema ukweli labda uwe profesa uchwara kama wale wenye PhD za kanisa zisizo na "digrii" hata ya kuombea maji.

Hivi ukiondoa makaratasi na wapambe wanaotuambia kuwa Sulatani ni profesa, ubongo wake unazo sifa zinazoonesha kuwa huyu ni profesa?
 
Huyu bwana ni lazima atakuwa na nia ya uchochezi wenye lengo la kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini. Mwanasiasa anayefilisika kisiasa huanza kutumia vitu kama Udini,ukabila n.k. kama mtaji wao wa kisiasa. Wanasiasa wa aina hii ni wa kuogopwa kuliko ukoma. Nchi alizozitaja bado ni masikini wa kutupa. mfano: Uganda kimaisha ni wachovu hata kuliko sisi. Sasa hiyo OIC imewainua kivipi. Tungetarajia wawe Dubai ya Afrika mashariki.

Kwa hawa wenzetu wanapozungumzia misaada usijijaze imani ukadhani kuna la maana wanalozungumzia. Kwao misaada ni Kanzu, Tende, Tambi, Mikeka na Nyama za Kondoo wakati wa sikukuu ya Iddi.

Kwa kifupi analalamika kuwa kwa nini Waganda wapate tende na wao wasipate?
 
kama ni tende tu, mbona wanaweza kwenda supermarketi na kujinunulia, na wala hilo haliitaji nchi kujiunga na OIC.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom