Lipumba Na Mbowe yupi kiongozi bora na makini?

Hivi kwann unilazimishe kuwa mimi ni mwanachama wa CCM? Hivi una PartMeter? MIMI NINACHOTAKA SI KELELE YA VYAMA MBALIMBALI AMBAZO SINAWAFAIDISHA WACHACHE. MIMI NILIPIGIA KURA CHADEMA TENA NILISAFIRI SAFARI NDEFU SANA MPAKA SASA SIJAPATA FAIDA YA KURA YANGU. Hivi unatakuniambia nini hapo?

Wewe unataka ufanyiwe nini?au kwanini umeichugua chadema wakati huo unamashaka nayo?wewe ni magamba tu na hukuwai kuipigia chadema kura.
 
wewe unataka ufanyiwe nini?au kwanini umeichugua chadema wakati huo unamashaka nayo?wewe ni magamba tu na hukuwai kuipigia chadema kura.

muda wa chadema kuongoza nchi bado maana hawajajipanga. Labda baada ya miaka 20 ijayo. Je wamejiandaaje kuongoza nchi?
 
Mbowe ni zaidi sababu yupo katika chama makini na chenye nia yakweli ya kulikomboa hili taifa kutoka kwa mkoloni mweusi ccm
 
ukitaka kumtambua mtu anayewezakuongoza nchi anzia nyumbani kwake,nenda kazini kwake,ingia kwenye chama chake malizia na elimu yake na aina ya viongozi waliofikia elimu yake.
lipumba siijui familia yake.
mbowe siijui familia yake.

lipumba ni mchumi na anafanya kazi zake vizuri
mbewe ni mfanya biashara mwenye mafanikio hiyo ina maana anamanage vizuri vitegauchumi vyake.

lipumba alipokea chama kikiwa cha pili nyuma ya ccm sasa hivi sijui ni cha ngapi.
mbowe alipokea chama kikiwa cha tano nyuma ya ccm sasa hivi kipo sahani moja na ccm.

viongozi wote phd afrika wanachemka katika katika madaraka makubwa.
tuna mifano ya viongozi waliokuwa hawana elimu kubwa lakini walikuwa mifano ya kuigwa afrika.

yeyote kati ya hawa anaweza ikizingatiwa kuwa kinachotakiwa ili kuipiku ccm ni kuitokomeza rushwa na ufisadi,kazi ambayo hawa wanaweza.

MBARIKIWE.
 
Hapa naomba tujadiliane kati ya hawa wawili bila kutumia hasira. Na ninaomba mtu akikomenti atoe sababu.
1. Kiongonzi shupavu mwenye mtazamo chanya si kigeugeu.
2. Aweza akawa Rais na kuiongoza nchi vyema.
3. Sio dictator.
Haya jamani tujadiliane.

Samahani kwa usumbufu mkuu, how old are you???
 
Hapa naomba tujadiliane kati ya hawa wawili bila kutumia hasira. Na ninaomba mtu akikomenti atoe sababu.
1. Kiongonzi shupavu mwenye mtazamo chanya si kigeugeu.
2. Aweza akawa Rais na kuiongoza nchi vyema.
3. Sio dictator.
Haya jamani tujadiliane.
Mbowe>lipumba+JK+Pinda+Nape+Ritz+Rejao+...
rationalise the denominator
 
muda wa chadema kuongoza nchi bado maana hawajajipanga. Labda baada ya miaka 20 ijayo. Je wamejiandaaje kuongoza nchi?
wewe katoe mbwa bandani acha kulemaza akili,angalia povu linavyokutoka kwa thread yako mwenyewe.
 
Muanzisha uzi ananyemelewa na ugonjwa wa degedege.kama kusikia husiki sasa hata picha huoni?
 
Wassira anafaa urais alafu shibuda awe waziri mkuu kuliko huyo lipumba awe Rais, pia tutake radhi wanacdm kwa kumfananisha kamanda wetu na Lipumba wa ccmB.
 
bwana mdogo Annael !
Kwanza wewe si mpenda maendeleo,mpenda maendeleo unakuja na post za
  • Mbowe akihamia CUF utafanyaje?
  • CUF na CHADEMA kipi chama makini?
  • Sasa umekuja na Mbowe na Lipumba
Hizi si hoja za maendeleo,wala si hoja za ki great thinker,unakulupuka kuanzisha post zisizo na mashiko.

Huyu mtu naona anatafuta Stutus ya JF Senior Expert Member. Si bure. Anasahu kwamba kuna watu walikuwa wanaitwa malaria sugu, Mwita25, ritz, Rejao na sasa MAFILILI wamefanya hii kazi anayofanya na wengine wakawa JF Senior Expert Member na wangine wakaenda zaidi hadi kuwa Premier Member lakini bado wameshindwa kukipa chama chao matumaini machoni mwa Watanzania. Mwacheni aweweseke akichoka atatokome kama Mwita25 na malaria sugu walivyotokomea.


TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),

tumbiri@jamiiforums.com
 
kiongozi wa kweli ni Mbowe. Lipumba bado sana kwanza hana strategic plan pia hana vision ya uongozi.kama unabisha nenda kamulinu pro.safari
 
Mh Mbowe ni Kiongozi Bora zaidi kuliko Prof Lipumba 1. wote wanaongoza vyama vya siasa, CDM kina chukua Nchi, Cuf Kimekufa, Mbowe Mbunge Lipumba hata akigombea Udiwani Buguruni Hapati, Mbowe ameongoza chama kimepata wabunge wengi halisi wanaowakilisha umma wa watanzania, Lipumba amepata wabunge wanao wakilisha Pemba na kidogo Unguja, Mbowe hajapoteza madaraka baada ya Dr slaa kugombea urais kwa mafanikio makubwa. Lipumba anaongozwa na Katibu wake Seif hana mamlaka nae hata kabla ya kua makamu wa kwanza wa rais wa Unguja. Mbowe anaaminika zaidi kwenye jamii Kuliko Lipumba anaye aminika kwa wasomi. Lipumba alishindwa kumshauri Mzee mwinyi na Lipumba ameshindwa kubalance wanachama na washabiki wake matokeo yake kimekua kama chama cha kiislamu 2. Mbowe amethihirisha kwa umma kwamba CDM ni chama cha watanzania wote na si Kaskazini kama kilivosemwa na Mafisadi. Lipumba anagombea yeye 2 urais na Mbowe anasimamia anacho amini na ndio maana aliacha na wengine wagombee Urais kupitia CDM. Lipumba aweza kupigia kura ccm kama wanavyofanya wanachama wake wa cuf but Mbowe hawezi kipigia kura ccm kama ambavyo wanachama wake wa CDM wasivoweza kupiga kura ccm
 
Kiongozi bora ni yule mwenye elimu, kwa upande wa elimu Mbowe ni form 4 na Prof Lipumba PhD...na wote walishawahi kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Prof Lipumba alishika nafasi ya pili na Mbowe alishika nafasi ya tatu.
Vp kawambwa
 
Lipumba hana maana kwasababu sijaona mchango wake katika jamii pamoja na usomi wake wote.ni sawa na mtu kujisifia una gari lakini halitembei.
 
Hapa naomba tujadiliane kati ya hawa wawili bila kutumia hasira. Na ninaomba mtu akikomenti atoe sababu.
1. Kiongonzi shupavu mwenye mtazamo chanya si kigeugeu.
2. Aweza akawa Rais na kuiongoza nchi vyema.
3. Sio dictator.
Haya jamani tujadiliane.
Hizi ndio sifa pekee za Kiongozi bora? Kwani Ronaldo na Messi nani mchezaji bora? Kwangu mimi hawa wawili kila mtu ana ubora na udhaifu ila kinachobaki ni kuegemea kwenye ushabiki wa vyama vyetu. Natamani sana itakapofika siku ambayo wote tutaimba "Nchi yangu kwanza, vyama baadae"
 
Back
Top Bottom