Lipumba Na Mbowe yupi kiongozi bora na makini?

bwana mdogo Annael !
Kwanza wewe si mpenda maendeleo,mpenda maendeleo unakuja na post za
  • Mbowe akihamia CUF utafanyaje?
  • CUF na CHADEMA kipi chama makini?
  • Sasa umekuja na Mbowe na Lipumba
Hizi si hoja za maendeleo,wala si hoja za ki great thinker,unakulupuka kuanzisha post zisizo na mashiko.
 
Last edited by a moderator:
Go east, go west Mbowe is the best!
Lipumba chama chake mwenyewe kinamshinda tukimpa nchi itakuaje?
:coffee:
 
bwana mdogo Annael !
Kwanza wewe si mpenda maendeleo,mpenda maendeleo unakuja na post za
  • Mbowe akihamia CUF utafanyaje?
  • CUF na CHADEMA kipi chama makini?
  • Sasa umekuja na Mbowe na Lipumba
Hizi si hoja za maendeleo,wala si hoja za ki great thinker,unakulupuka kuanzisha post zisizo na mashiko.

Tatizo ni nini mimi nataka kujua je watu wanapenda chama, mtu au wanataka wapate maendeleo? MIMI KUSEMA KWELI SIO MUUMINI WA CHAMA CHOCHOTE NA SIMUABUDU MTU YOYOTE. Sawa? Ahsante kwa kufuatilia post zangu. Firia theme ili ndani ya hizo post sawa?
 
MIMI KUSEMA KWELI SIO MUUMINI WA CHAMA CHOCHOTE NA SIMUABUDU MTU YOYOTE. Firia theme ili ndani ya hizo post sawa?

bwana mdogo! Annael , wewe ni mwanachama na mpenzi wa CCM,kwa nini unalikwepa hili?unaogopa nini au unataka nikuthibitishie ni post ipi umethubutu kujionesha kuwa wewe ni mpenzi wa magamba?
Ok!umesema unataka kujua watu kama wanapenda maendeleo,alafu ukijua?je wewe unadhani kukaa chin na kufatilia watu wanapenda mtu au
 
Last edited by a moderator:
Unamfananisha Mbowe kamanda na Lipumba wapi na wapi? Mbowe ni jembe la ukweli.
Halafu mbona umeanza kwa kujihami coz unajua majibu ni yepi. Yan unadhani mtu ukiwa na elimu kubwa ndo unauwezo wa kuongoza? Tazama chama lake ccm b linamfia huku akiona.

DJ Mbowe ? haja majaribio katika kuongoza taifa
 
bwana mdogo! Annael , wewe ni mwanachama na mpenzi wa CCM,kwa nini unalikwepa hili?unaogopa nini au unataka nikuthibitishie ni post ipi umethubutu kujionesha kuwa wewe ni mpenzi wa magamba?
Ok!umesema unataka kujua watu kama wanapenda maendeleo,alafu ukijua?je wewe unadhani kukaa chin na kufatilia watu wanapenda mtu au

Hivi kwann unilazimishe kuwa mimi ni mwanachama wa CCM? Hivi una PartMeter? MIMI NINACHOTAKA SI KELELE YA VYAMA MBALIMBALI AMBAZO SINAWAFAIDISHA WACHACHE. MIMI NILIPIGIA KURA CHADEMA TENA NILISAFIRI SAFARI NDEFU SANA MPAKA SASA SIJAPATA FAIDA YA KURA YANGU. Hivi unatakuniambia nini hapo?
 
Hapa naomba tujadiliane kati ya hawa wawili bila kutumia hasira. Na ninaomba mtu akikomenti atoe sababu.
1. Kiongonzi shupavu mwenye mtazamo chanya si kigeugeu.
2. Aweza akawa Rais na kuiongoza nchi vyema.
3. Sio dictator.
Haya jamani tujadiliane.

None of them. Ila kama ni uwaziri mkuu na rais akawa Slaa sawa.
 
Kiongozi bora ni yule mwenye elimu, kwa upande wa elimu Mbowe ni form 4 na Prof Lipumba PhD...na wote walishawahi kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Prof Lipumba alishika nafasi ya pili na Mbowe alishika nafasi ya tatu.
Mkuu vithread kama hivi huwa unavipenda sana. Lakini mwisho wenu utafika pale mtakapo jaribu kumshika yule mwamba wa kaskazini lowassa mtafutika kwenye hii medani ya siasa
 
Unaongelea Kaskazini au Tanzania?

Ndio !!! Kaskazini kwa anayetokea yule mwamba anaeitwa Edward lowassa ambaye hamna yeyote ndani ya magamba mwenye uwezo wa kukohoa mbele yake vinginevyo atakisawazisha hicho chama cha majambazi
 
Kiongozi bora ni yule mwenye elimu, kwa upande wa elimu Mbowe ni form 4 na Prof Lipumba PhD...na wote walishawahi kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Prof Lipumba alishika nafasi ya pili na Mbowe alishika nafasi ya tatu.

kuanzia mwaka 2005 kwa mujibu wa sheria, mgombea urais ni lazima awe na angalau shahada (degree) ya kwanza ya chuo kikuu, hivyo kudai kuna mtu aligombea akiwa na elimu ya form 4 ni UWONGO MKUBWA!
 
nimekutafunia na kumeza nikumezeshe!!!?namimi nakuuliza KATI YA GHARIB BILLAL NA AGUSTINO MREMA NANI KIONGOZI BORA?

Umeshindwa kujibu swali dogo hilo je tukikupa uwaziri utaweza? hivi 3 + 4 =? vile
 
Back
Top Bottom