Lipumba kumpinga Mengi kuhusu mafisadi papa - alipokea hela za Rostam?

Kama kanisa katoliki lingekuwa linamjibu kila anayelisingizia Dunia hii tusingekaa maana kila baya Katoliki na Kila zuri katoliki je njie wenye Dini zinazochukia Kanisa hili yenu mazuri ni yepi?

Kuvaa mabomu na kujilipua kama short cut ya kwenda peponi ili wakaozeshwe wanawake 12 wenye macho ya goroli!
 
Kafiribangi kuhusu Lipumba kuhongwa na unaoita mafisadi huko sizungumzii,pengine mnafahamiana zaidi,lakini kwamba mitambo ya Dowans ni chakavu hiyo siyo sahihi. Licha ya matatizo ya namna mkataba ulivyosainiwa,bado mitambo ilikuwa ni ya kiwango cha juu. Sishangai ninaposikia wale walio endesha kampeni kubwa kwamba mitambo ya Dowans ni chakavu baada ya kununuliwa na kampuni ya Kimarekani wameufyata. Wameanzisha madai mapya ya kulishwa sumu na mafisadi.

Unajua s aa nyingine kwua prof haina maana una akili. Huyu jamaa anathibitisha hili kabisa, kwa jinsi alivyojaa pumba kichwani!
Hivyo kabisa, kama tahira, kufuata mkombo na ukibaraka wka serikali.
 
Kuvaa mabomu na kujilipua kama short cut ya kwenda peponi ili wakaozeshwe wanawake 12 wenye macho ya goroli!

A piece of advice? Mijadala ya dini iacheni, it will do more harm than good and the end of the day neither side will win.
 
nashangaa mnaoutunga uzushi kwakutumia masaburi. Nitakuwapia nikiwashangaa wanaounga mkono aliyepost kana kwamba hawakumbuki nchi kipindi kile ilikuwa ktk hali gani na lipumba kutetea mitambo ile kulikuwa ni wa msimamo kizalendo aliangalia taifa litapata hasara. Hata zitto kabwe aliliunga mkono ni upumbavu kuya fanya mambo muhimu yenye maslahi ya taifa kuyafanyia mzaha haifai jamani. Tuheshimu mawazo ya mtu. Uhusiano wa jussa, si wakibiashara wametambuana ktk siasa.
 
Kafiribangi kuhusu Lipumba kuhongwa na unaoita mafisadi huko sizungumzii,pengine mnafahamiana zaidi,lakini kwamba mitambo ya Dowans ni chakavu hiyo siyo sahihi. Licha ya matatizo ya namna mkataba ulivyosainiwa,bado mitambo ilikuwa ni ya kiwango cha juu. Sishangai ninaposikia wale walio endesha kampeni kubwa kwamba mitambo ya Dowans ni chakavu baada ya kununuliwa na kampuni ya Kimarekani wameufyata. Wameanzisha madai mapya ya kulishwa sumu na mafisadi.

Samahani ndugu naomba nikumbushe kidogo ,hivi wakati ule wa Richmond tulikuwa tunalipa bei gani vile ?kwa siku bila kujali wanazalisha umeme au la ,na walikuwa hawazalishi.
 
Back
Top Bottom