Lipumba: Kazi ya Makamba ni kuisambaratisha CCM

Ni Hiari yako Prof Lipumba kugombea au kuacha wananchi ndio waamuzi,
Makamba nadhani ana maono mafupi,hasomi alama za nyakati,hana lolote ninaamini mambo anayosema Lipumba yanaweza yakawa na ukweli tumejionea wenyewe jumuia za CCM zilivyo kwenye magomvi hakuna cha UVCCM,UWT,na hata Jumuia ya Wazee wote wamekata tamaa,ni kweli kabisa hofu kubwa ni kuwa CCM ikikatika vipandevipande bila kukabidhi nchi vizuri nchi itakwenda mlama,Kamuweka HIZA kitengo cha propaganda hana la maana zaidi ya kuudhi wanachama na wafanyakazi wengine wa makao makuu, hovyo Makamba
 
His job is to make sure CCM stays in power and win elections. And so far he has done just that.
 
Maneno ya Lipumba yanazidi kutimia kazi ya Makamba aliyoifanya Iringa ni mwendelezo wake wa kuivuruga CCM kupitia UVccm.
 
kuisambaratisha CCM is non of Lipumba's Business. Naye pia, ikiwa nia na malengo yake ni kuleta mabadiliko ya kweli Tanzania angeitisha mgomo wa vyama vya upinzani kutoshiriki uchaguzi mpaka Tume ya Uchaguzi imeundwa upya na kuwa huru. Otherwise anyamaze kimya...naye ni makamba in another version.

Kushiriki uchaguzi Tz ni sawa na kuaccept defeat hata kabla ya matokeo maana ni sawa na mtunga mtihani (aliyeandaa hata making scheme) kufanya mtihani huo huo pamoja na mwanafunzi. NEC ni ya CCM, Tendwa ni wa CCM, na pengine hata CUF na vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ni vya CCM pia, who knows....
 
Back
Top Bottom