Lipumba atilia wasiwasi ADC kupata usajili wa ghafla :BBC

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Hayo yamesemwa leo pale alipohojiwa na DW, amehoji inakuwaje ADC wapate usajili wa ghafla ilihali vyama vingine vinachukua muda mrefu sana? Atuhumu ofisi ya msajili kutumiwa kwa maslah flani, pia ameshangazwa na baadhi ya wanachama ambao bado wapo CUF kuwa walezi wa ADC!!
 
Lipumba is very right...
 
Hamad Rashid hayuko CUF ni mbunge wa mahakama, hivyo yuko huru kuwa mlezi wa chama co cote cha siasa!
 
Wanatarajia kuja kutengeneza alliance kama kenya, wanajipanga eti waziri mkuu atatoka ADC ambaye wote mnamfahamu kwani mmemjadili sana humu.mimi kwangu jina lile linanisababishia hang-over silipendi.Kwa hiyo hiyo ndiyo mipango yao mengi mtashuhudia.ila ni sikio la kufa hilo achana nalo
 
ile ni ujanja wa kuiba kura rangi za ADC na CHADEMA ziko sawa utasikia CCM imeshinda then ADC na CHADEMA kura ziko sawa kisingizio wapigakura walishindwa kutofautisha rangi za chama.
 
ile ni ujanja wa kuiba kura rangi za ADC na CHADEMA ziko sawa utasikia CCM imeshinda then ADC na CHADEMA kura ziko sawa kisingizio wapigakura walishindwa kutofautisha rangi za chama.

CDM kinapaswa kuungana na CUF kukipinga hiki chama.
 
Naskia Yule mbunge wa Lindi Urban bwa Bar'wan atajiunga hivi karibuni kama kutia attention kabla yule bw. wa wawi southern pemba ajatia ndumu
 
Sipati picha muunganiko wa Lipumba na Dr. Slaa. Lipumba weka uzalendo kabla hujatutoka. Njoo CDM tafadhal.
 
cdm mmepatikana kule vijijini wananchi huwa wanapigaga kura kwa kuangalia rangi ya chama , itabidi tu mbadilishe rangi ya chama chenu
 
cdm mmepatikana kule vijijini wananchi huwa wanapigaga kura kwa kuangalia rangi ya chama , itabidi tu mbadilishe rangi ya chama chenu

vijiji vya mwaka gani hivyo???? siku hizi sekondari hadi kwenye kata.Wapiga kura wa cdm ni wa umri wa 18-50 hao unao sema wewe ni 65 and above
 
lipumba upo sahihi wanaiogopa CUF zanzibar ili ikose nguvu c.c.m ipite kwa urahisi. sababu ni kuzoofisha CUf zanzibar na kuzoofisha chadema bara
 
vijiji vya mwaka gani hivyo???? siku hizi sekondari hadi kwenye kata.Wapiga kura wa cdm ni wa umri wa 18-50 hao unao sema wewe ni 65 and above
mkuu hizo shule za kata wengi hawajui kusoma na hata kutofautisha rangi so imekula kwenu cdm
 
Hayo yamesemwa leo pale alipohojiwa na DW, amehoji inakuwaje ADC wapate usajili wa ghafla ilihali vyama vingine vinachukua muda mrefu sana? Atuhumu ofisi ya msajili kutumiwa kwa maslah flani, pia ameshangazwa na baadhi ya wanachama ambao bado wapo CUF kuwa walezi wa ADC!!

Nakubalina na Prof. Na nadhani CCM nyingine imeingia. Leo nimemsikis Katibu Mkuu wa ADC mahali fulani, utadhani ni mhuni fulani. Hoja yake ni kuwa eti Police na CDM lao moja katika mauaji ya mwandishi wa habari, na anadai kuwa kwa nini polisi wasimuue mtu wa CDM? Kwli hii ni hoja ya mwanasiasa mahiri kuisema? Wana ADC wajue wameliwa hicho chama kina namna sio bure.
 
nakubalina na prof. Na nadhani ccm nyingine imeingia. Leo nimemsikis katibu mkuu wa adc mahali fulani, utadhani ni mhuni fulani. Hoja yake ni kuwa eti police na cdm lao moja katika mauaji ya mwandishi wa habari, na anadai kuwa kwa nini polisi wasimuue mtu wa cdm? Kwli hii ni hoja ya mwanasiasa mahiri kuisema? Wana adc wajue wameliwa hicho chama kina namna sio bure.

tulipofikia sio kit rahisi kuwagawa tena watz kwa udini,ukabila na hila zingine za ccm km kuanzisha vichama vya ajabu ajabu km adc.........mbwembwe tu wamuulize nape na sitta ccj iko wapi na mtoto wa ccj pia kahamia wapi. Hakuna mtz zuzu siku hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom