Lipumba asikitishwa umasikini baada ya kurejea toka Ulaya

Lipumba ni adui wa upinzani,kazi yake kugawa kura ccm washinde.anakuwa active kipindi cha uchaguzi tu! Yupo ughaibuni anakula raha akija anajifanya kutoa analysis za uchumi! Aache siasa abakie mtendaji tu anatuzingua!
 
Nakubaliana nawe Mkuu, huyu na yule Cheyo ni watu wa kushangaza sana. Wako radhi wafanye kila wawezalo kuiwekea ngumu CHADEMA kuliko CCM pamoja na kuwa Magamba ndio wanaiangamiza nchi. Halafu huwa hawasikiki kabisa mpaka karibu na uchaguzi ndio nao wanajitokeza. Naona wanatumia ile methali ya, "Ukila na kipofu.....
 
Back
Top Bottom