Lipi ujinga zaidi???

Nasubiri simu yako....hakikisha unapiga kabla sijalala,sipendi kuamshwa na simu....lol....vijiba vya roho ndo vinaleta stroke,binti mdogo unapinda mdomo na mikunjo kwenye ngozi....!!
Ha ha ha! Et binti mdogo unapinda mdomo!!!...lol. Nimepiga kapokea shemu, kanambia upo bafuni. Nimemwachia maagizo atakupatia...
 
nipo,nalea mume alikuwa mgonjwa sasa hivi ana nafuu
Ooh! Pole dear, nini zaidi? Sipati picha unavyodekewa lol. Wanaume wakiumwa wanajua kudeka wewe! Pole sana kwa kuuguliwa, mpe pole shemeji. Nikiweza ntapita jioni kuwapa hi.
 
Ooh! Pole dear, nini zaidi? Sipati picha unavyodekewa lol. Wanaume wakiumwa wanajua kudeka wewe! Pole sana kwa kuuguliwa, mpe pole shemeji. Nikiweza ntapita jioni kuwapa hi.

yani ni madeko kwa kwenda mbele ndo nimetoka kumpa supu hapa, haya ntakungojea
 
Back
Top Bottom