Lipi ujinga zaidi???

Usijali kabisaa,kuwa specific ni angaza ya wapi ili nijue nachomoka home mida gani....usikatishwe tamaa na mtu, kifo kipo tu...!

Ukimchukia mtu we mpe za uso tu....maisha mafupi,unabaki na kitu kinakukaba roho,mwenzio ana raha zake....lol
Ntakupigia nikwambie ni angaza ya wapi... Nimependa hiyo ya kumpa mtu za uso live, nzuri sana! Ya nini kufa na kijiba cha roho?
 
Nasubiri simu yako....hakikisha unapiga kabla sijalala,sipendi kuamshwa na simu....lol....vijiba vya roho ndo vinaleta stroke,binti mdogo unapinda mdomo na mikunjo kwenye ngozi....!!
 
Hivi angaza unapajua au unapasikia?
 
ha ha ha ha ha
dah, jf kuna mambo!

Ila nimeamini ujinga ni ujinga sana.
 
Hivi angaza unapajua au unapasikia?

he he he he he napajua,kuna lipi la ajabu Angaza zaidi ya kupima virusi vya ukimwi? Kwa baadhi yetu hapakwepeki, mjamzito ni lazima,kazini sasa napo ni lazima,kabla ya ndoa ni lazima....sasa nisipajue kwanini tena??
 
Nyie ndo mnayakimbiaga majibu mnaenda kwa mbwembwe mkianza kuulizwa maswali mnajifanya mnaenda msalani kumbe kimenuka
 
Mbwembwe zipi sasa unaonyesha angaza,utanizalisha wewe nisipopima? au Mchungaji anatakiwa kuniangalia na kunifungisha ndoa bila vipimo? Vitu vingine ni wajibu, hatutafuti sifa...hakuna nesi wala Dr anataka kuzalisha mtu asiyejua status yake....kwahiyo usianze story za mtaani kwenu hapa!
 
....ujinga ni kuvua kandambili usikanyage maji...

au,

...kuacha kuogelea sababu ya mvua!
 
Back
Top Bottom