Lipi neno sahihi

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
Samahani wana JF Kunamaneno fulani ya kiswahili yamekuwa yakinichanganya.
-Neno Kukoga na Kuoga.
Mimi nahisi neno kukoga linatokana na neno mokogo. Lakini neno hili kukoga limekuwa likitumiwa hata mtu akienda bafuni kuoga anasema naenda kukoga.

Jamani naomba ufafanuzi juu ya hili
 
Kukoga =kulingishia,kuonyea Kuoga=Kujiswafi mwili mzima ukiwa mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom