Lini unatamani ifike/isifike haraka?

Siku Ninayotamani Ifike Haraka Ni Mwezi Dec Kwani Nafunga Ndoa Baada Ya Uchumba Sugu Wa miaka 15!!

Na Siku Nisiyotaka Ifike Haraka Ni Weekend Zote Kwani Ndizo Siku Ambazo Nalalaga Juu Ya Meza Za Baa au Kaunta Badala Ya Kitandani Kwangu.
Asante.
Madame B we kiboko!!
 
Last edited by a moderator:

upo poa?
 
Mie naihusudu sana Jumamosi maana sina pressure ya kulala wala kuamka mapema naweza kukesha hadi alfajiri na kuamka saa nitakayo. Sasa ikiambatana na vikolombwezo vingine kama vile kuna game la kukata na shoka iwe soka, Basketball etc, au kwenda kujirusha sehemu sehemu kwa mwaliko au kwa raha zangu basi huwa inanoga zaidi na ikiwa ni long weekend naona kama nina Jumamosi mbili LoL! Jumapili nayo si mbaya lakini kwangu mimi haioni ndani kwa Jumamosi.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom