Lini unatamani ifike/isifike haraka?

AHHHAHHAHAHHAHAH shosti hapa ubraidmaid unahusika kwa kweli tutapendezaje na njano na puprple yetu!ahahahahhahahha chezeya uchumba sugu miaka 15 wewe!
ngoja nipendekeze wadau kabisa
hapa kwenye umatrone akae @FP
mabraidsmaid watakuwa cacico, mwaJ King'asti, snowhite
lara 1 na Kapipi watarekebisha upande wa kukaribisha wageni
The Boss atakuwa floor manager Kaizer mwenyekiti wa kamati kuu ya vinywaji HorsePower atarekebisha upande wa kuandaa risala ya wazazi
SnowBall pacha wangu atasimama upande wa usafiri
Nyani Ngabu yeye kzi yake ni kuleta nguo za maharusi kutoka pande za italy
gfsonwin yeye atahusika sana siku ya bridal shower akisaidiana na Mamdenyi
MKATA KIU na Saint Ivuga wao wakiongozwa na BAK pamoja na King Kong III watasimamia swala zima la muziki
Erickb52 yeye atafuatilia swala zima la suti ya bwana harusi
Ruttashobolwa kutokana na kuwa na maslahi binafsi katika hili tunaomba tu atuache tupige mzigo!
ASHAdii akisaidiana na nyumba kubwa watahusika na maswala yooote ya masotojo a.k.a msosi. charminglady na FirstLady pamoja na kisukari nyie kazi yenu ni upande wa saloon muhakikishe amekuja kanisani anawaka waka!
kuna nyongeza jamani?
Heheheheee hivi hujui mi ndio ntakuwa Bwana Harusi?
Ila naona kama Ruttashobolwa amepata karessure ka kupanda na kushuka sasa sijui ataweza kusavaivu?
Halafu snowhite usimsahau ma lovely wife Amyner yeye ni mzuri sana kwenye mambo ya Kumpedezesha bi Harusi wetu
 
Last edited by a moderator:
AHHHAHHAHAHHAHAH shosti hapa ubraidmaid unahusika kwa kweli tutapendezaje na njano na puprple yetu!ahahahahhahahha chezeya uchumba sugu miaka 15 wewe!
ngoja nipendekeze wadau kabisa
hapa kwenye umatrone akae @FP
mabraidsmaid watakuwa cacico, mwaJ King'asti, snowhite
lara 1 na Kapipi watarekebisha upande wa kukaribisha wageni
The Boss atakuwa floor manager Kaizer mwenyekiti wa kamati kuu ya vinywaji HorsePower atarekebisha upande wa kuandaa risala ya wazazi
SnowBall pacha wangu atasimama upande wa usafiri
Nyani Ngabu yeye kzi yake ni kuleta nguo za maharusi kutoka pande za italy
gfsonwin yeye atahusika sana siku ya bridal shower akisaidiana na Mamdenyi
MKATA KIU na Saint Ivuga wao wakiongozwa na BAK pamoja na King Kong III watasimamia swala zima la muziki
Erickb52 yeye atafuatilia swala zima la suti ya bwana harusi
Ruttashobolwa kutokana na kuwa na maslahi binafsi katika hili tunaomba tu atuache tupige mzigo!
ASHAdii akisaidiana na nyumba kubwa watahusika na maswala yooote ya masotojo a.k.a msosi. charminglady na FirstLady pamoja na kisukari nyie kazi yenu ni upande wa saloon muhakikishe amekuja kanisani anawaka waka!
kuna nyongeza jamani?
mlongo wangu, unafikiri Madame B atakubali mimi niwe matron wake na uzee huu? mabibi harusi wa siku hizi wanataka vijana wenzao, siyo kama sisi zamani tulikuwa tunachagua familia yenye ndoa ya mfano, tena watu wazima walikuwa wanahusika............
akikubali poa tu, ila itabidi na mimi mnisugue na hayo machicha ya nazi, umesikia gfsonwin? andaa machicha mengi na matron anahusika, lol!
 
usijali mamii yaani niaminie kwa hilo ma dear!
 
HorsePower ni kweli hakuna mtu anayependa siku yake ya kufa ifike. . . ila cha kujiuliza ni kwamba UMEJIANDAAJE KWA SIKU HIYO? jana nimehudhuria katika msiba mmoja wakawa wanasema marehemu alikuwa anasema akipona atakuwa mchungaji. hapa nilipata funzo kuwa "tusisubiri tuwe vitandani ndo tumkumbuke muumba wetu." katika kitabu cha Mhubiri 12. 1 na kuendelea anasema kuwa "mkumbuke muumba wako siku za ujana wako" si kwamba tumkumbuke tukiwa vijana bali tumkumbuke tukiwa na afya zetu!!!
 
Last edited by a moderator:
mlongo wangu, unafikiri Madame B atakubali mimi niwe matron wake na uzee huu? mabibi harusi wa siku hizi wanataka vijana wenzao, siyo kama sisi zamani tulikuwa tunachagua familia yenye ndoa ya mfano, tena watu wazima walikuwa wanahusika............
akikubali poa tu, ila itabidi na mimi mnisugue na hayo machicha ya nazi, umesikia gfsonwin? andaa machicha mengi na matron anahusika, lol!
weye tena !mbon atakubali na ulivyo na kamwali portabo wala hawezi kukataa!kuhusu machicha hilo wala usitie shaka!mi dogo lako si ndo nipo kitengoni?
 
afadhali mdogo wangu, maana najua baada ya kazi shem wako ataona kapata binti mpyaaaaaaaaaaaaaaaa, senkyu mlongo wangu kwa kuniongezea miaka mingine 55 ya ndoa, lol!
 
usinichekeshe!mie wako huku huwa anasema harusi huimarisha ndoa!eti anajua tukitoka tu kwenye harusi ngoma hailali!ahahhahahhah watu wana visa!sijui ndo vile vijigauni
 
mwenzangu............... naona tukitokaga huko tunakumbukia siku ya harusi yetu, maana mambo ni yaleyale
 
HorsePower ni kweli hakuna mtu anayependa siku yake ya kufa ifike. . . ila cha kujiuliza ni kwamba UMEJIANDAAJE KWA SIKU HIYO? jana nimehudhuria katika msiba mmoja wakawa wanasema marehemu alikuwa anasema akipona atakuwa mchungaji. hapa nilipata funzo kuwa "tusisubiri tuwe vitandani ndo tumkumbuke muumba wetu." katika kitabu cha Mhubiri 12. 1 na kuendelea anasema kuwa "mkumbuke muumba wako siku za ujana wako" si kwamba tumkumbuke tukiwa vijana bali tumkumbuke tukiwa na afya zetu!!!

Hapo kwenye bold, asante kwa mahubiri!
 
natamani jmosi kwani ndo siku ya hesabu.siitamani kuche kwani inabidi kuamka usiku kuwahi foleni.
 
Siku Ninayotamani Ifike Haraka Ni Mwezi Dec Kwani Nafunga Ndoa Baada Ya Uchumba Sugu Wa miaka 15!!

Na Siku Nisiyotaka Ifike Haraka Ni Weekend Zote Kwani Ndizo Siku Ambazo Nalalaga Juu Ya Meza Za Baa au Kaunta Badala Ya Kitandani Kwangu.
Asante.

Kwi kwi kwi kwi....
 
Back
Top Bottom