Lini uliacha kununua gazeti la UHURU/MZALENDO?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,974
13,614
Kumbukumbu zangu zinaonyesha niliacha kusoma gazeti la UHURU enzi ya katuni ya Chakubanga...wangapi wanaikumbuka hii katuni.
 
mimi sijawahi kulinunua maishani mwangu. Hata pale nilipokuwa mwanaCCM active, nilikuwa nanunua magazeti yanayoandika ukweli kama Mwananchi, Rai la wakati ule, Majira na nipashe. Uhuru sijawahi kabisa.
 
...Nami niliacha kununua Mzalendo baada ya Makala za akina mar Yahya Buzaragi, mar Shimye Ahmed, mar Salim Bawazir, Chesi Mpilipili kutoweka kwenye gazeti hilo zaidi ya miaka 16 iliyopita!!! Toka kipindi hicho Sijapoteza Hela Yangu tena Kulinunua...!
 
Back
Top Bottom