Lini NAPE atakwenda Monduli na Igunga

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea??

JARIBU KUTAFAKARI
 
Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea??

JARIBU KUTAFAKARI

Thubutu! aende huko na yeye avuliwe GAMBA?
 
in fact ni majimbo matatu - Bariadi, Igunga na Monduli ili kueneza sera za chama za kujivua magamba. tunasuburi kwa hamu kuu.
 
huyo mzee wa siasa uchwara hawezi enda huko wampopoe mawe? ye anataka kwenda sehemu nyepesi ambazo ataongea unapenape wake afu watamchunia tu si aje hata huku arusha tuna hamu naye, hivi si naweza mwandikia barua ya mwaliko? aje huku
 
sio kazi rahisi hasa monduli na igunga nadhani anaweza kuzomewa na hata kupondwa mawe.
 
Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea??

JARIBU KUTAFAKARI
Sioni umuhimu wa wao kwenda huko. hasa kwa muda huu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom