Lini nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania(jwtz) zinatoka kwa mwaka huu 2013

Wadau tujuzane kwa yeyote mwenye infor kuhusu intek ya pili mwaka huu jkt wataanza kuchukua watu mwez wa ngapi?
 
Jamani wana Great thinker ni lini? nafasi za kujiunga na JWTZ zinatoka kwa mwaka huu 2013
Tujuzane kwa undani na ukaribu coz we need to join an army plz your information will be of a great thnx if you do xo!!!!!!!!
thnx have good weakend
Se uuuuuuuuuuuu!!!!!!!All Great thinkers

Nakushauri ujiunge na jkt kwanza kutokea hapo utaingia kiulaini jwtz ingawa inawezekana pia kwenda moja kwa moja lakini kuna mizengwe kibao cku hizi tz hata kwenda jeshi mpaka uwe na mjomba lugalo,haya mm nakutakia mafanikio
 
Kama unataka kujiunga na jw karudie kidato cha6 basi utajiunga na jkt then kiulaiiini.
 
Wengine tupo ktk hyo ngaz ya elimu ya kidato cha 6, we need an infor on when nafasi zitatoka kwa kipind cha pili cha mwaka wa mafunzo?
 
Back
Top Bottom