Lini mtanzania atakaa alau masaa ishirini na nne bila hisia za chuki na unyonge toka serikali yetu?

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Kwa upeo wangu si tu hatuna furaha na amani mioyoni mwetu ila pia tumejawa na chuki na unyonge ambao wale ambao tumewapa dhamana ya kuongoza nchi yetu wamekuwa wakitupandikiza.
Hatuna rais,hatuna waziri mkuu na pia tuna mawaziri.Je tanzania pia haina watanzania?Namaanisha wananchi.....wazalendo......leo hatuwezi kufanya kama tunisia na misri kizalendo?
Mwenzenu mimi serikali yetu imedhoofisha uzalendo wangu na ndo maana unaweza ukaona nachoandika ni ujinga....Sujinga utanikumbuka siku si mbali.
Tanzania yenye wazalendo wenye upendo na furaha inawezekana tukijitambua na kufunguka.Mungu ibariki Tanganyika
 
Siku uwoga utakapo twishia na sisi vijana tusio na ajira tutakapoanza kudai ajira zetu,. Tupo wengi mtaani ila tunaitaji nani atakaetwanzishia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom