Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini Kikwete kapata PhD?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tanga kwetu, Oct 1, 2010.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  kuna siku nilikuta Magufuli anaitwa Dr., sikubisha wala sikukubali bali nilishangaa maana 'no data no speaking' lakini nikafuatilia na kugundua jamaa kasota miaka minne pale UDSM na kupata PhD yake katika mambo ya chemical engineering. Siku za hivi karibuni vyombo vya habari (nime-notice hasa hasa ITV), zinamtambulisha Kikwete kama Dk. Kikwete (Pia Karume). Nimejaribu kufuatilia wapi kapata hicho cheti cha PhD au MD au BVM/DVM (Bachelor of Veterinary Medicine/Doctor of Veterinary Medicine) inaonekana ni Dr. ya vinginevyo. Naomba mwenye taarifa juu ya hili anijuze. Recently, wimbi la watu kujiita madokta limekuwa kubwa sana huko Tanzania. Inauma kama mtu hajasota kama ma-real Drs wanvyousotea kuupata u-Dr. halafu mtu anajipachika tu. Tena watu kama hao usipomwita Dr. anakasirika. Wenzetu huku Ulaya hawapendi kuitwa ovyo ovyo Dr....you just call him/her jina lake la kupewa utotoni...Condoleze Rice etc.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  [​IMG] LINI SLAA KAPATA PhD?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 19,761
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Una maana Permanent head Damage(PhD)?....utafungwa sasa
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,880
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Ungeanza kuuliza ana Masters ya nini na PhD yake alisomea nini? As far as i know hana PhD, U-Dr wanaomwita ni ule wa kupewa kama ukitembela chuo fulani unaweza kuvalshwa kikofia na kigauni lakini haina maana kuwa amesomea.

  Mkuu lakini unatakiwa kupitia vizuri thread za JF kuna mahali watu wameeleza vizuri. Kuna mawaziri vihiyo walitaja kwenye thread moja, watu wanajiita Dr lakini ukweli hata Masters zao ni za utata.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,435
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Siyo Dokta. Anaitwa Dakta.

  Udakta wa Manzese. Mwisho Airport.

  Akiingia kwenye pipa tu anajitambulisha kama Mr. JK
   
 6. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,609
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mmh, nilikuwa sijui. umenifanya nicheke:party::A S-rap:
   
 7. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,397
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  hana tofauti na Dr. Remmy Ongalla,Prof Vulata, na Prof Maji Marefu.wana doctorate za aina moja
   
 8. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  ....the answer is; dk. ya manzese hadi airport!!!!!!!!!!!!!!!!! shame on him!!!!
   
Loading...