Lines or words people utter before and after sex ??

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,502
11,248
Before and after the process of making love there must be some phrases people normally use.

What are these words different people use?

Let's share experience Please!

Eg. Before the Act ___ Can you/we think of.....
After the Act ___ Wow, that was fantastic/thank you, ......
 
Mh..hii ipelekwe kule kwa akina Kibs kabla haijachafua hali ya hewa hapa jamvini.
 
unaweza mteli laiv,dadaa hayo madesign nayamaind,kisha after that unamwambia kumbe una cargo tamu sana mrembo.
 
Wengine wanafikisha ujumbe kwa kulala na kuanza kukoroma!
 
boifrendi kwa gelifrendi wake;

kabla; "...haki yamungu, amini nakwambia, nitakuoa!"

baada; "...nawewe nae, kwani una haraka ya nini kuoana?"

Mke na mume;

kabla; "...mama nanihii usiharibu basi, tutaongea tukimaliza..."

baada; "...mume wangu, mume wangu...hatujamaliza kuongea umelala?"...(mume anakoroma!)
 
umenifurahisha sana hiyo ya GF na Bf
 
Ni kweli kwa wachangiaji waliopita kila rika na muda kwenye mahusiano yana matter sana,lazima itakuwa tofauti kwa walio wachumba muda mrefu,au wanaoanzana mara kwanza....tofauti na wanaorudiana waliokuwa mbali....au ndoa mpya kabisa.....yote ladha na maneno tofauti.....wajuzi watuambie,I.e nakupenda sana jinsi ulivyo....baada...sitaki uwe na urafiki wa karibu na ....(Rafiki wa karibu-wivu)
 
Before and after the process of making love there must be some phrases people normally use.

What are these words different people use?

Let's share experience Please!

Eg. Before the Act ___ Can you/we think of.....
After the Act ___ Wow, that was fantastic/thank you, ......
Maneno yanayosemwa kabla na baada ya Sex ni MAAGANO ambayo yanakuja kuwa na "IMPACT" KUBWA SANA kwenye maisha ya wahusika.

"KAMA HUMAANISHI DO NOT UTTER A WORD, FOR YOUR OWN SAKE" hayo maneno yatakuwa kama JINAMIZI KWENYE MAISHA YAKO.

Ushauri:Do not utter a word,GUGUMIA TU...nayo ina raha yake.

UTAKUWA "FREED".
 
Back
Top Bottom