Lindi: Mwalimu ahukumiwa kwenda jela miaka 357!

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
CHADOMO WACHENI WIVu

Jamani mbona mnalia lia ndio tumeanza mambo yetu, tukiwafunga manlia tukiwaacha manlia vipi nyinyi?

Nape ndugu yangu upoooo, CCM Oyeeeeeee!!!!!!!


attachment.php

545075_3243419768355_415331624_n.jpg
 
Wanchekesha mie. Waliokula dili la airbus si wapo mtaani! Dili za usafi na uniform muhimbili? Kiwanja cha serikali kuuzwa kwa METL? Buzwagi? Mgodi wa Buhemba?
 
This is onother curse eating justice and killing ccm. Small fishes are punished heavenly while the bigger are left to enjoy life and consume squandered public resources luxirously. God of mercy rescue our country!
 
hii nchi wanaijua wenyewe ccm. mwalimu anafungwa miaka zaidi ya mia huku chenge , mafisadi yanatembea tena yapo bungeni yamejikalia na yanazidi kupewa vyeo
 
Wanaonewa vidagaa wakati mapapa yapo yanatamba mitaani keli hawa jamaa ni Chukua Chako Mapema
 
Duu...357 yrs!!! wizi wa nini tena huo!!!!! Alitorosha Tembo kupeleka uarabuni nini!!!!!
 
if only ningekuwa najua na naweza kutukana, sijui leo ingekuwaje.
 
Unahangaika kwa kufukuza kuku wa kisasa! Kama mnaweza anzeni na:-

Chenge, Richmond walohusika wote mfano baasha kosa lake siwajui nawajua, kiwila, reli,bandari, epa, kagoda, melemeta,stimulate packages, panya kwenye halmashauri, mawaziri, iptl, rada pamoja na dege la rais, mapanki, korosho, powertiler, bot, safari za rais, vocha kilimo, tbs, atc, nyumba za serikali, pamba,utalii, madini, misitu, mauaji ya raia, wizi kura, mikataba yote mibovu nk.

CHADEMA TEGEMEO LA WANYONGE
 
Yaani bora nihamie somalia,hivi huyu teacher na jairo,chenge,wezi wa epa,nani mwizi?
 
Wezi wa kuku wanafungwa maisha,
wezi wa mabillion wanawekewa ulinzi,
lakini tutafika tu.
 
Back
Top Bottom