Linaniuma sana nisaidieni jamani.

pole mshkaji wangu
pole kaka
uyo si mie
1. si mwaminifu
2.mchoyo
3.hana huruma
4.akili zake /upeo mfup sana
6.ana uchu na mali
8.han ukike

maoni;
kimbia
tafuta anayekufaa km mke ,kuzaa na mtu si lazim awe mke wako
take ya time thk,swallow pain n u wl move on sweetie pole sana chalii angu!

umemaliza wangu,chalii akimbie bila kugeuka nyuma
 
Ahaaa ahaaa yaani atoke nduki

ndo manake manake dah
bora alie leo badala ya keshoooo...kupenda usipopenda ni sawa na kujitia kitanzi ...utachimba kwa sururu ardhin ukitafuta penz lake LAKIN AUTALIPATA BEB U BETA GOOOO....yataisha tu lakin usikubali kuish na mtu MBINAFSI KM UYO ..dzin anakuchuna tu mtoto ndo kigezo wat do u thk?
 
umemaliza wangu,chalii akimbie bila kugeuka nyuma

tumsindikize katika izo nduki zake manake duh!
inauma sana mtu kukugeuza msukule yan anakufanya faaala na kufanya lolote alitakalo bla kujali hisia au utajisikiaje kwa kgezo cha aahh hatafanya lolote ....namjua yule ...ntamtuliza....HAPANA KAKA USIKUBALI BNADAMU AKACHEZA NA AKIL ZAKO STAND UP AS HUMAN BEING STAND UP AS AMAN......

DEDICATION;
GET UP STAND UP WA BOB MARLEY.....
 
Duh! Mkimbie kama njaa. Maisha na mapenzi ni:
1. Kupendana - Yeye hana
2. Kuaminiana - Yeye hana
3. Kushirikiana - Yeye hana
4. Kuheshimiana - Yeye hana
5. Kusaidiana - Yeye hataki
6. Amani - Kwenye uchumba wenu hamna
7. Kupenda na kuheshimu wazazi wa upande mwengine - Yeye hilo linampa muwasho "allergy".
8. Kukubaliana - Yeye anaishi kivyake
9. Kusikilizana - Yeye katia pamba, anasikiliza sauti na moyo wake tu.
10. Kujenga hatima "future" ya pamoja - Yeye hilo kalipiga "BAN"

Ikiwa utaamua kubakia naye, unatafuta nini? Ukiendelea kubakia naye usitarajie jengine lisilokuwa maudhi na kukuumiza roho. NDUKI MKUU, NDUKI. Bora uliye mapema wakati bado una uwezo wa kujifuta machozi, ukichelewa utakuja kujuta majuto ya mjukuu.
 
Je huyo ni mkeo au mmekaa kama mtu na hawara yake?

Kama hamjaoana kindoa, huna haki ya kutaka ushauri. Tukikupa ushauri tutakuwa tuna changania uzinifu na kuzini kumekatazwa na vitabu vyote na hata wasio na vitabu wana maadili ya kupinga uzinifu.

Wewe unazini halafu mwenzako akitaka kuzini na unae zini nae unakasirika. Unashangaza. Kasirika kwa mkeo au mumeo wa ndoa tu.
 
Bro pole sana! Kwa kweli huyo dada amehihudhunisha pia. I trust kwamba unayosema ni sahihi na pia kwamba umefanya busara to-date ya kutowafahamisha ndugu including wazazi maana ungeblow up kila kitu

Ni hivi Bro, hapo hauna mwenza kabisa, maisha ya ndoa ni masikilizano kwa maana ya kushauriana ktk maswala ya maendeleo ya familia ikiwa ni pamoja na kupanga mikakati ya maendeleo pamoja. I am afraid she is non of the above including what others have observed. Bro my take ni kwamba hiyo ni tabia yake, kama mmeshakuwa mkiyazungumza yet anadiriki kutembea na lizee ambalo limefiwa na mke wake (God forbid asije akawa alikufa kwa magonjwa ya kuambukiza) hata kufanya maenedeleo kimyakimya, kutowajali wazazi wako etc. basi hakufai. I tell you what huyo mwanake anajua fika kuwa uhusiano wako na yeye ni wa muda tu hakuwa na nia ya long term relationship ndio maana anafanya anayofanya knowing that one day she move on.

Maandiko yanasema tuwe na kiasi, bro enough is enough. Let her go ahead with what she think is best for her. Usisubiri mpaka mambo yawe mabaya zaidi ya yalipofikia. To me she is not a good mother either, so take custody of the kid and move on with your life. However before you break up make it official. Let her know that you know all about her misbehavior and U cant take any more then find a smooth exist from this tormentor whom you believe is your wife.
 
mshukuru mungu umeyajua haya mapema.
mambo aliyofanya huyo dada yanaonesha hakufai.
pole kweli inaumiza
 
Je huyo ni mkeo au mmekaa kama mtu na hawara yake?

Kama hamjaoana kindoa, huna haki ya kutaka ushauri. Tukikupa ushauri tutakuwa tuna changania uzinifu na kuzini kumekatazwa na vitabu vyote na hata wasio na vitabu wana maadili ya kupinga uzinifu.

Wewe unazini halafu mwenzako akitaka kuzini na unae zini nae unakasirika. Unashangaza. Kasirika kwa mkeo au mumeo wa ndoa tu.

Kama ni kimila nimemaliza kulipa mahari, na tunajua ndoa inajengwa na amani upendo, kushauriana na kuaminiana, sio kubariki ndoa tu mradi hapana. Na kwa mimi binfsi mawazo yangu yalikuwa ni mke lakini baada ya kuona huu ubinafsi linanikera sana kuhofia maisha ya hapo mbele. Nimelifikiria sana kwa upana lakini jibu sipati nikafikiri labda kuna mtu alisha kumbana na hali kama hii, nilitaka kujua ni njia gani alitumia kumaliza huu mgogoro. Na kwao wanajua ya kua ni mke wangu, na ndugu zake wapo karibu na mimi sana hasa dada zake na mama yake. Ilifikia mahali nikamweleza dada yake hilo swala akawa anamwombea msamaha eti nimsamehe ni shetani ameingia kati. Akasema nitakapo rudi tutakaa chini tuyasungumze. Ila hayo mambo ya nyumba dada yake anasema ni yeye anatakiwa ayajibu mwenyewe yeye haya muhusu kwa sababu hataki kuingilia.
 
Ilikuwa tufunge ndoa kanisani 2006 lakini aliyetibua mambo yote ni huyo kijana tulipanga nae nyumba moja. Ikabidi niwaombe wazazi wasubiri mpaka nitakapo rudi masomoni na kuangalia watamalizia wapi mechi yao. Kwa sababu ilinibidi nimweleze yule kijana lakini alikataa nikamwonyesha ushahidi wote niliokuwa nao. Baada ya kuona hivyo alihama pale akahamia kwa ndugu zake na sasa hivi ninasikia ameoa.

Kwakweli inavyoonekana huyo mwenza wako ana tamaa, achana naye tu uanze upya, au vinginevyo Mungu ambadirishe, Lakini kwa ninavyoona kazi ipo. Yaani huo msalaba nimzito kweli kuubeba maishani.
 
Mkuu huyo mwanamke kama huja funga nae ndoa wachana nae. Ila to be in your shoes ninge mkomesha hivi; naedelea kujiweka karibu nae kwa kutoa msaada wa kuimalizia hiyo nyumba huku nikiendelea kufuatilia hati (title deed) kwa kuiweka nyumba kwa jina langu. Then napiga kimya. Akileta mdomo ndio nampasukia kwamba nyumba sio yake. Baada ya hapo namtoa kwangu.
 
Tabia zote hizo bado unashindwa kuchukua maamuzi kweli kupenda mauti....
 
Pole sana ndugu yangu. Huyo mwanamke hakufai kabisa, achana naye. Najua itakupa tabu namna ya kuachana naye lakini jitahidi na huo utakuwa mwanzo mzuri wa kuanza upya, utashangaa utakuja kumpata mwanamke atakayekufaa sana siku zijazo. Cha msingi achana naye kwanza huyu na baada ya hapo ANZA KUOMBA MUNGU AKUPE MKE MWEMA!!
 
mnh mie naona,makosa ni yako hujajua kumtreat huyo mwanamke akakuamini kuwa wewe ni mwekezaji na sio mpita njia kama wengine,anza kumuonyesha unamjali/mpenda na ungependa kuwa na future naye uone kama hatabadilika mienendo yake.,anza leo kustand kama mwanaumena kuwa firm kuwa tabia yake huipendi uone kama hatarekebishika?......sikushauri uachane naye sababu ni bora zimwi ulijualo kuliko usilolijua...hakuna guarantee ukimwacha ndio utapata aliye msafi zaidi,unaweza pata mwanamke mbovu kushinda huyo,
 
Umeishi nae kwa muda wa miaka 3 hujaweka msimamo wa kufunga nae ndoa, ndio maana ameamua kufanya mambo yake bila kukushirikisha

Bora mungu, hakuruhusu hiyo ndoa, kwa hizo sababu alizozitoa hapo angemuua kaka wa watu bure.
 
mh, hii kali..pole sana kaka huyo sio mwanamke at all ni shangingi la mjin tu. Mwanamke lazima
ujitambue,
ujiheshimu,
uridhike na hali uliyo nayo,
ujitume ktk njia halali,
umheshimu mmeo,
umpende n.k
Sasa huyo mwenzako hana hayo yote. Au ulikurupuka ulipoamua kuwa nae bila kutumia mda kumchunguza??????

Tatizo wanaume wakitafuta wanawake wa kuoa huwa wanajali muonekano wa nje kama rangi, shape, miguu ya bia, na mengineyo wanasahau kujali utu wa ndani yani tabia alaf bdae vikishawadodea ndo wanajuta na kuja kwa ushauri JAMANI KWENYE NDOA HAUINGII WEUPE WALA MGUU WA BIA KWANI HUO MGUU WA BIA BAADA YA MDA UTAUONA C CHOCHOTE PALE TABIA ZA HUYO MWENZ WAKO ZITAPOKUWA KERO KWAKO. Pls, Pls gents watch out a.k.a kuweni makini pia muombe sana kabla ya kufanya maamuz yoyote, mtakuja kukutana na mapepo bureeeee
 
Kama ni kimila nimemaliza kulipa mahari, na tunajua ndoa inajengwa na amani upendo, kushauriana na kuaminiana, sio kubariki ndoa tu mradi hapana. Na kwa mimi binfsi mawazo yangu yalikuwa ni mke lakini baada ya kuona huu ubinafsi linanikera sana kuhofia maisha ya hapo mbele. Nimelifikiria sana kwa upana lakini jibu sipati nikafikiri labda kuna mtu alisha kumbana na hali kama hii, nilitaka kujua ni njia gani alitumia kumaliza huu mgogoro. Na kwao wanajua ya kua ni mke wangu, na ndugu zake wapo karibu na mimi sana hasa dada zake na mama yake. Ilifikia mahali nikamweleza dada yake hilo swala akawa anamwombea msamaha eti nimsamehe ni shetani ameingia kati. Akasema nitakapo rudi tutakaa chini tuyasungumze. Ila hayo mambo ya nyumba dada yake anasema ni yeye anatakiwa ayajibu mwenyewe yeye haya muhusu kwa sababu hataki kuingilia.

Ndoa ya kimila inatambulika kwenye dini ya kikristo na serikalini pia, kwa waislam ndo cjawa na uhakika...so huyo ni mkeo kabisaaaa. ila sasa kwa tabia hzo kweli ww ni mvumilivu. Au ndo limbwata???
 
Mshikaji toka nduki sana maana huyo si mwenzako hata ufanyeje
Tafuta ubavu wako hapo unapoteza muda ndugu yangu
 
POLE SANA Fastfasta, HUYU MWANAMKE AMEKUONESHA MAPEMA TABIA ZAKE, KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKO HAPO JUU HUYO MWANAMKE TABIA ALIZONANO NI TAMAA, UBINAFSI, SI MWAMINIFU, UCHOYO,DHARAU (KIBAYA ZAIDI KWA WAZAZI WAKO WALIOKUZAA NA KUKULEA WEWE), MSIRI KWA MAMBO YANAYOTAKIWA MKUBALIANE NA KUSHAURIANA. SASA JE WEWE BINAFSI KUTOKA NDANI YA MOYO WAKO UPO TAYARI KUISHI NAYE MWANAMKE WA AINA HII MPAKA KIFO KITAKAPOWATENGANISHA??,,,

JE BADO UNAMPENDA PAMOJA NA HAYO MAPUNGUFU YAKE ALIOKUONESHA??, UPO TAYARI KUYABEBA?,
UKIPATA MAJIBU YA HAYO MASWALI YA HAPO JUU BASI UTAAMUA MWENYEWE KWA HIARI YAKO KUENDELEA KUISHI NAYE? AU KUMWACHA?? NINGEPENDA UAMUZI WA HILI TATIZO LAKO UTOKE NDANI YA MOYONI MWAKO NA AKILINI MWAKOU UKIZINGATIA MAPENZI NI WATU WAWILI TU.
AMEFANYA LA MAANA SANA KUKUONESHA MAPEMA MAPUNGUFU YAKE ILI UWE NA UHURU WA KUAMUA KUENDELEA KUYABEBA AU KUACHANA NAYE.

POLE SANA ,ILA FAHAMU KUWA SIYO KILA MWANAMKE ANAFAA KUWA MKE, VIVYO HIVYO SI KILA MWANAUME ANAFAA KUWA MUME.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom