Linah....

....ngoja nicheke kwanza. Umeua wakati wewe ndo "mwanangu" wake

Na wale watoto wetu wa kike, sijui nitaambiwa tuwazae nyumbani tu au?

Hahaaaa 'mwanangu' mwenyewe yule, kisha sijamuona tupaeni strategies ujue.

uwazalie nyumbani na mkunga wa jadi mie ntawatafutia kabisa, maana hamueleweki

nitafutie basi hiyo nyimbe aisee...
 
Hahaaaa 'mwanangu' mwenyewe yule, kisha sijamuona tupaeni strategies ujue.

uwazalie nyumbani na mkunga wa jadi mie ntawatafutia kabisa, maana hamueleweki

nitafutie basi hiyo nyimbe aisee...

hahaha ma strategies si ndo kama hayo.....:lol:

Nyimbo nakutaftia na kabla ya jogoo hajawika mara tatu, utaipata JF
 
  • Thanks
Reactions: bht

Similar Discussions

Back
Top Bottom