Lina bingwa french open(French Open women's final - Francesca Schiavone v Li Na)

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
kwa mala ya kwanza mwanadada kutoka china Li Na amemshinda mwanadada kutoka Italy Schiavone ktk yale mashindano ya Tennis french open.

French Open women's final - Francesca Schiavone v Li Na

li-schiavone-getty.jpg



LI NA BEATS FRANCESCA SCHIAVONE 6-4 7-6 (7-0) TO WIN THE 2011 FRENCH OPEN

_53243762_012142782-1.jpg
 
kwanza hayo ni majiina mawili, yaani Li Na na sio Lina.

nilimuona CCTV walikuwa wanampamba sana. kweli wenzetu wazalendo na yeye hakuwaangusha wachina wenzake. hongera sana Na!!
 
Back
Top Bottom