Limbwata. . . !!!

Mahaba tu jamani hakuna limbwata wala nini,hivi watu wanapima nn mpaka waseme umempa mumeo limbwata? Ukarimu wako na usikivu na upole utafanya mumeo akusikize kwa kila kitu karibu, na watu waanze kuchonga

Inapotokea mwanamke katika familia ya wawili wapendanao ana sauti kuliko mwanaume(mumewe) na wanandugu wakaligundua hilo(hasa wa upande wa mume) huanza kulalama ya kuwa kalishwa kitu,mara sio bure,karogwa au kalishwa limbwata.

Ni kwa nini huwa wanafikiria ni limbwata na sio mapenzi ya mume kwa mke wake?na ndio maana anamtii mkewe kwa kufuata kila jambo analomwambia.
Nawasilisha.
Katika mjumuiko wowote wa watu ambao upo kiutaratibu kunatakiwa kuwe na kiongozi. Mpango wa MUNGU mume ndio kiongozi wa familia sasa inapotokea ndivyo sivyo lazima jamii ijiulize maswali.

Kumbe wanaosema ni MAPENZI wanatazama kwa mtazamo wa kijamii.
Kumbe kidini ni Tofauti.

Aksante!

Mahaba tu jamani hakuna limbwata wala nini,hivi watu wanapima nn mpaka waseme umempa mumeo limbwata? Ukarimu wako na usikivu na upole utafanya mumeo akusikize kwa kila kitu karibu, na watu waanze kuchonga

Nadhani ni utamaduni mpya,ndo mana kuna kuwa na maswali.

Hiyo ni weakness ya baadhi ya wanaume, kutokuwa na maamuzi. its shame mwanaume lazima uwe na power bwana.

Na hata kama mwanamke ana sauti hapaswi kuonyesha kuwa anayo kwenye public kwani inashusha heshima ya mumewe. Kuna wanawake ni viherehere wakiona watu ndio wanapenda kuonyesha wana power!

Katika mjumuiko wowote wa watu ambao upo kiutaratibu kunatakiwa kuwe na kiongozi. Mpango wa MUNGU mume ndio kiongozi wa familia sasa inapotokea ndivyo sivyo lazima jamii ijiulize maswali.

Kwa kizungu mwananume wa namna hiyo huitwa-a henperked husband! ahusband who canot disagree with his wife. Lakini huku Africa inakuwaga too much. Nimewahi kufanya kazi idara moja na jamaa na mkewe. Mkewe alikuwa anatembea na jamaa mle mle ofisini na jamaa mwenye mke ndio mpole na mkimyaa sana . Halafu huyo jamaa aliyekuwa anatembea na mkewe alikuwa na sifa chafu chafu za kependa kinky sex. Kinky sex ni sex sex chafu chafu tuu zisizo na adabu .Sasa sijui jama yangu hayo yalikuwa mapenzi kupita kiasi au ndiyo hayo hayo ya uwoga wa kumkalipia mkewe.

Mi nachinja mtu, bora nikaozee segerea kuliko dharau kama hizo.

Hiyo ni weakness ya baadhi ya wanaume, kutokuwa na maamuzi. its shame mwanaume lazima uwe na power bwana.

Nashukur kwa kuungana na Lowasa,kumbe kunawanaume wanakosa KUWA NA MAAMUZI MAGUMU ndo mana.
Nashukuru.

Hivi limbwata ndo nini au naweza pata tafsiri yake?

limbwata ni kipande cha nyama kilichopikwa then unakisokomeka kwenye naniii yako 'ke" kwa muda wa siku tatu hadi saba, ukiitoa ile nyama mle kuna dawa ya kienyeji kinapwa then unamlisha mtu, hapo bana ndo watu wanabanana kweli kweli. ... nilijuwaje don't ask.

Mmh??
Huwa wanasemaga ukigeuza ndala kwenye mazingaobwe,fanani hawezi fanya sanaa,ili cjui kama ni kweli,
Kuhusu kipande cha nyama??
Kiukwel ndo nasikia kwako,may b unaushuhuda.
Naheshimu mchango wako.
Ila unge dadavua zaidi.

limbwata ni kipande cha nyama kilichopikwa then unakisokomeka kwenye naniii yako 'ke" kwa muda wa siku tatu hadi saba, ukiitoa ile nyama mle kuna dawa ya kienyeji kinapwa then unamlisha mtu, hapo bana ndo watu wanabanana kweli kweli. ... nilijuwaje don't ask.

Ha ha ha Mamndenyi bana thanx nilikuwa sijui kabisa

Hicho kipande kinachowekwa huko ina maana huyo mama hakojoi au vipi? Na hicho kipande hakiozi na kutoa harufu?

limbwata ni kipande cha nyama kilichopikwa then unakisokomeka kwenye naniii yako 'ke" kwa muda wa siku tatu hadi saba, ukiitoa ile nyama mle kuna dawa ya kienyeji kinapwa then unamlisha mtu, hapo bana ndo watu wanabanana kweli kweli. ... nilijuwaje don't ask.

kuna hii ya kabila moja la mkoa wa kagera,
hapo kinachukuliwa kitomvu cha mtoto mchanga aliyekufa leo kinakatwa kipande then kinasokomezwa huko kwenye K*m*.
kinatolewa baada ya cku tatu na kinaanikwa juani kinakaushwa vizuri halafu kinasagwa na kuwa unga halafu unaungiwa kwenye mchuz kama binzari hivi au chumvi.
Na wakati kinawekwa kwenye ''K'' kuna maneno yanatajwa. Anatamka jina la mume au bwana/mpenzi mf. Xyz siku yoyote hutakuwa na kauli kwangu na ikiwa hivyo labda huyu mtoto mwenye kitomvu hiki afufuke na aongee.

Yani ndio funga kaz mana dume linakuwa ***** kabisa! Kuna jamaa kitaa alioa mdada wa mkoa huo akalishwa hiyo kitu yani dah akipata mshahara tu wote anampelekea mkewe halafu mkewe ana mpa buku 2 au 3 amwambia haya ka shave saluni. Hiyo ndo imetoka mume hapewi chochote tena, hadi akitaka chupi au shati anaomba kwa mkewe tena anaomba kwa unyenyekevu mkubwa na mke ndo anaamua atoe au asitoe.

Ogopeni hiyo kitu jamani na kama umefanyiwa na nyumba ndogo hapo ndoa yako ndio imekwisha mana lazima utamuacha na kumchukia mkeo na wanao kupita kiasi.

Hiyo sidhani kama inaitwa limbwata; itakuwa inaitwa shuntama. Sikujua wanafanyaje ila nimeshasikia kuwa kuna wamama wanaweza kuwapa madawa wame zao mpaka hawafurukuti. Nadhani inaendana na ushirikina wa mtu binafsi kwani si popular kihivyo. Nafikiri ,majina yanatokana na mkoa hiyo dawa inakotoka. Haya mambo yapo tusijifanye kushangaa wakati kwa waafrika ushirikina ni kitu ambacho kipo sana hasa vijijini na kwa watu ambao shule haijawakomboa. Siku hizi nasikia hata vibinti vidogo vinaenda kwa waganga ili vipendwe. Kuna mmoja nilisoma nae o'level na alikuwa mpaka miss alienda kwa mganga baada ya kutemwa na boyfriend wake; mama yake akaja pata habari (rafikize walipeleka umbeya home) alikuja mpaka school kumhadhibu. Swala ni kuwa inawezekana hizo dawa zikawa ni za uhongo but still people use them bcos they believe in them.

kuna hii ya kabila moja la mkoa wa kagera,
hapo kinachukuliwa kitomvu cha mtoto mchanga aliyekufa leo kinakatwa kipande then kinasokomezwa huko kwenye K*m*.
kinatolewa baada ya cku tatu na kinaanikwa juani kinakaushwa vizuri halafu kinasagwa na kuwa unga halafu unaungiwa kwenye mchuz kama binzari hivi au chumvi.
Na wakati kinawekwa kwenye ''K'' kuna maneno yanatajwa. Anatamka jina la mume au bwana/mpenzi mf. Xyz siku yoyote hutakuwa na kauli kwangu na ikiwa hivyo labda huyu mtoto mwenye kitomvu hiki afufuke na aongee.

Yani ndio funga kaz mana dume linakuwa ***** kabisa! Kuna jamaa kitaa alioa mdada wa mkoa huo akalishwa hiyo kitu yani dah akipata mshahara tu wote anampelekea mkewe halafu mkewe ana mpa buku 2 au 3 amwambia haya ka shave saluni. Hiyo ndo imetoka mume hapewi chochote tena, hadi akitaka chupi au shati anaomba kwa mkewe tena anaomba kwa unyenyekevu mkubwa na mke ndo anaamua atoe au asitoe.

Ogopeni hiyo kitu jamani na kama umefanyiwa na nyumba ndogo hapo ndoa yako ndio imekwisha mana lazima utamuacha na kumchukia mkeo na wanao kupita kiasi.

kuna hii ya kabila moja la mkoa wa kagera,

hapo kinachukuliwa kitomvu cha mtoto mchanga aliyekufa leo kinakatwa kipande then kinasokomezwa huko kwenye K*m*.

kinatolewa baada ya cku tatu na kinaanikwa juani kinakaushwa vizuri halafu kinasagwa na kuwa unga halafu unaungiwa kwenye mchuz kama binzari hivi au chumvi.

Na wakati kinawekwa kwenye ''K'' kuna maneno yanatajwa. Anatamka jina la mume au bwana/mpenzi mf. Xyz siku yoyote hutakuwa na kauli kwangu na ikiwa hivyo labda huyu mtoto mwenye kitomvu hiki afufuke na aongee.

Yani ndio funga kaz mana dume linakuwa ***** kabisa! Kuna jamaa kitaa alioa mdada wa mkoa huo akalishwa hiyo kitu yani dah akipata mshahara tu wote anampelekea mkewe halafu mkewe ana mpa buku 2 au 3 amwambia haya ka shave saluni. Hiyo ndo imetoka mume hapewi chochote tena, hadi akitaka chupi au shati anaomba kwa mkewe tena anaomba kwa unyenyekevu mkubwa na mke ndo anaamua atoe au asitoe.

Ogopeni hiyo kitu jamani na kama umefanyiwa na nyumba ndogo hapo ndoa yako ndio imekwisha mana lazima utamuacha na kumchukia mkeo na wanao kupita kiasi.

Wachangiaji wa mwanzoni hawakugusia humu,
Shukrani kwa kutujuza!

Yani mkuu hii mm ndio naiogopa balaa, nina anko wangu mmoja kaoa mkoa huo tena kwa hilo kabila sasa watoto wake ni mixer baba mtanga mama ndo wa huko kagera.

Kuna day nikapata dem akawa ni best frnd tu hapa kitaa na akawa ananitembelea mpaka home, sasa mtoto mmoja wa huyu anko wangu alipojua kuwa huyu dem anaenitembelea home ambae mm ni best frnd wangu ni mtu wa kabila hilo la kwao huko kagera ilibidi anipe tahadhari mapema kuwa kabila lao hilo ni balaa tupu yani most of womens wana practice hiyo kitu.

Na akasema kama huyo dem akikuchunuku tu na kukupenda ni lazima umuoe wataka hutak utaoa tu.
Akasema pia niwe care mara ninapokua nae nisikubali anikate kucha au ani shave popote pale coz anaweza kuchukua kucha n.k na kwenda kuzifanyia mambo.

Akasema kwao ukisha kuwa na kucha ya mwanaume au nywele za kwapani au hata ndevu tu tayari huyo mwanaume amekwisha.

Yani wanapiga mambo huko ni lazima mwenyewe upeleke mahari. Na ukishamuoa ndo anakumaliza kabisa unakua kwake hupumui, utafuata atakachosema na hata akikwambia piga deki,fua,pika,osha vyombo n.k vyote hivyo utafanya tena kwa unyenyekevu.

Wake up mens yasije yakawakuta.

mhh! Kweli kazi ipo,
Unatushauri nin kuhusiana na hao Kagera wmn???

Back
Top Bottom