Limbwata na Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Hivi katika hii ishu ya mapenzi, mbona akina dada wanatumia zaidi Limbwata ili wapendwe(kuwapumbaza) zaidi na wanaume na sijawahi kusikia Limbwata kwa ajili ya wanaume kuwapumbaza wanawake. Na dawa za Kuongeza nguvu za kiume zaidi kwa wanaume, hivi kuna dawa za kuongeza nguvu za kike?
 
Dawa hiyo unayomaanisha ipo...LAKINI Haiitwi Dawa ya Kuongeza nguvu za KIKE...Inawekewa Tafsida kidogo kwa kuiita DAWA YA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE!
 
Dawa hiyo unayomaanisha ipo...LAKINI Haiitwi Dawa ya Kuongeza nguvu za KIKE...Inawekewa Tafsida kidogo kwa kuiita DAWA YA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE!
Ina maana ni spsho kwa ajili ya wanawake wasio na hamu ya tendo la ndoa au wanawake wote inawafaa?
 
Hivi katika hii ishu ya mapenzi, mbona akina dada wanatumia zaidi Limbwata ili wapendwe(kuwapumbaza) zaidi na wanaume na sijawahi kusikia Limbwata kwa ajili ya wanaume kuwapumbaza wanawake.

Nakumbuka kama nimeshawahi kusikia 'dawa' hizi zipo/zinatumika. Kuna jamaa alikuwa ameoa mwanamke 'mzuri' kweli (kwa sura/umbo!). Kwa jinsi huyo mwanaume alivyokuwa, watu walikuwa wanasema hastahili/hawezi kuwa na mwanamke mzuri hivyo! Kwa hiyo ikawa inasemekana alitumia madawa kumpata/kuendelea kuwa nae!

Binafsi siaminikatika haya madawa lakini ukikaa na kusikiliza maisha ya uswahilini simulizi kama hizi sio haba!
 
Ina maana ni spsho kwa ajili ya wanawake wasio na hamu ya tendo la ndoa au wanawake wote inawafaa?


Kwa wote mkuu, ndo maana ikaitwa KUONGEZA HAMU YA TENDO!!
Dawa hizi hazisemwi hazarani, lakini zina soko kubwa ajabu, kila mtu anazitafuta kwa muda wake na kwa nguvu zake zote...Ukitaka kujua ukweli ongea na wauzaji wa dawa hizi uone wanavyopata wateja!
 
Ngovu za kike ndo zipi? kusimamishe kine..................mbe au? sijaelewa bado
 
kimbweka punguza ukali wa maneno ...kwani JF si ya wakubwa na masela peke yao bali ni kwa wote ....kuanzia watoto,vijana,wafanyabiashara,walimu,wazazi,walezi,wachungaji,mashemasi,walei,masheikh, maimamu na hata maamuma......!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom