Limbwata lilianzia morogoro kwa wapogoro-mch dk rwakatare!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Leo nimekiri mama yuko juu kwenye mambo ya unyumba kwa kweli
kwa waliomsikia akiongea na clouds fm leo kuna semina ya ndoa ingawa nilipingana nao kwa kuweka kiingilio sh 20,000 na kumaanisha asie nauwezo aeeendelee kuteseka na ndoa zake huku jumapili tukiambiwa tumepewa bure tutoe bure

mama alinifurahisha alipoulizwa mambo ambayo yatakayoongelewa akasema kikubwa zaidi leo ni tembe 20 za ndoa na kujua jinsi gani ya kumuandaa mkeo ama mumeo..akasema unajua polisi wamekuwa imara kwak uwa kuna training kila siku na wakisikia kuna kundi fulani wameingia wanajifunza mbinu mpya kila siku akasema tatizo letu sisi tunasubiri ndoa zianze kuvunjika ndio tunakimbilia makanisani kujua jinsi gan ya kuishi na mwenzio wakati nyumba inawaka moto

akasisitiza wenye kuweza kufika karibuni ingawa nilikuwa na mwenzake nikamwambia aseme mwenye uwezo karibuni maana wasio na uwezo wengi kuliko hao wanaotoa 20 ingawa nyumba nyingi za hao wanaotoa hela zinawaka moto na kama si mishumaa imewashikilia wapo walipo.....

Mama akaenda mbali zaidi akasema kuna mambo mengi unajua sikuhizi utashangaa vijana wa kike wanawabadilisha wanaume wala awaendi kwa waganga kama umesikia limbwata ..haya yoote leo tunaelezea karibu mtangazaji mama akamalizia

mtangazaji akaaribu kuuliza chanzo cha hiki limbwata nini nini akasema limeanzia morogooror kwa wpaogoro..nani kakwambia bana limbwata la wapogoro utoki nduguyangu mwanaume anakuwa kama ***** sasa kuna mmbinu za kujjua umependwa kweliii ama huyu mapenzi yake ni limbwata nisimalizie sana mtangazaji leo ni leo karibuni kanisa la mlima wa moto

kazi kwako wewe na ndoa yako
 
Back
Top Bottom