Lily Flower amefiwa na kaka yake

Pole sana dada, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole Lily, Mungu ailaze roho ya kaka yetu mahali pepa peponi.

Sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi.
 
habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba....msiba utakuwepo Karatu eneo linaloitwa Double D karibu na hospitali ya serikali........mazishi yatafanyika kesho tar 12/11......hivyo basi kwa members mliopo eneo hilo tuungane pamoja ili tuweze kumfariji mwenzetu katika msiba huu....

JF is beyond keyboards
 
Asante sana kwa kuonyesha moyo huo.......msiba haupo Dar, upo Arusha (Karatu). Nitakavyozidi kupata taarifa ndivyo nitakavyoendelea kuwaletea, ili kama kuna members waliopo huko waweze kuhudhurua ili kumfariji mwenzetu

R.I.P Dear beloved bro! Pole lily flower,mungu awatangulie,ingekuwa hapa moro ningeudhuria
 
Pole saana mpendwa. Lipo kusudio la yeye aliyeziumba mbingu na nchi, yeye awatiae faraja hata mpitapo katika magumu!! Mungu mwenye enzi amuangazie mwanga wa milele kaka yetu kipenzi, apumzike kwa amani. AMINA
 
Mungu awatie nguvu wafiwa wote ktk kipindi hiki kigumu! Amen
 
Oh! Pole my Dear Lily Flower. Mwenyezi Mungu akupe joto lake kipindi hiki cha msiba tuko pamoja.
 
wapendwa ndio tupo njiani kuelekea msibani....kwa wale mliopo Karatu mnaweza kuungana na sisi....
 
Poleni sana wafiwa wote!
Pole sana Lily Flower!
Mungu Aiweke Roho ya Marehemu Pahali Pema - Amen!
 
Back
Top Bottom