Lilisemwa, Waziri Akapinga--Lakini Sasa Latimia

Jaman, Ee! Tusibakie kulalamika tu na kunyamaza kwa ajili ya ujinga na upuuzi wa ccm, tuwatoe madarakani, tumechoka upuuz wao.
 
kitakacho tokea mwalimu msimamizi wa mtihani atawaambia wanafunzi wake wawe wanamuangalia ishara mfano nikikaa ni A nikikohoa ni B nikishika dirisha ni C nikikohoa ni D hapo watoto wote watafaulu hesabu na huna criteria ya kusema wamecopy!ama kweli tanzania BONGO LALA
 
Mimi nilisoma somo la statistics nje Ulaya. Kwenye somo hilo tulikuwa wanafunzi 1500. Masuali yote yalikuwa multiple choice na waliopasi walipasi na waliofeli walifeli.<br />
<br />
Jee unaweza kupata jawabu sahihi bila ya kufanya calculations kwanza? Na kwa kufikiria tu unaweza kupata jawabu moja au mbili lakini siyo zote.
<br />
<br />
Hiyo ni tofauti na watoto wa primary school,cheating will manipulate.
 
kitakacho tokea mwalimu msimamizi wa mtihani atawaambia wanafunzi wake wawe wanamuangalia ishara mfano nikikaa ni A nikikohoa ni B nikishika dirisha ni C nikikohoa ni D hapo watoto wote watafaulu hesabu na huna criteria ya kusema wamecopy!ama kweli tanzania BONGO LALA

Sitashangaa haya unayoyasema yakitokea.
 
Natamani sana Wanafunzi nao wagome kufanya mtihani wa namna hiyo kwa somo la Hisabati.
 
Back
Top Bottom