Lile blog la harusi mliloliponda limeboreshwa

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Hi Wadau

Hapo nyuma nilimuomba mdau mmoja wa humu ndani mheshimiwa marketer aniwekee tangazo la my blog ya www.tanzaniastylers.blogspot.com inayohusu mambo ya harusi, ikakosolewa sana na kupata challange za sana, sasa nimekuja mwenyewe mwenye blog kuwashukuru kwa maoni yenu na kuwajulisha maoni nimefanyia kazi na mengine naendelea kuyafanyia kazi si mwajua Rome haikujengwa siku moja. Thanks a lot for your challanges guys, na msisite kunikosoa inapobidi.
 
Back
Top Bottom