lil Wayne + Nick Minaj??!!!

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
..are they dati...ng??!! :plane:
 

Attachments

  • wayne-nicki-tao.jpg
    wayne-nicki-tao.jpg
    21.9 KB · Views: 115
Lil Wayne ndie aliemsafishia njia na kumwangazia Mwanga Bibie Nicki Minaj kwenye Ulimwengu wa Muziki.

Lil Wayne, Mchango wake ni mkubwa sana kwenye Mafanikio ya NICKI MINAJ.

WADAU wangu wema Kesho sitokuwepo pande hizi za JF.

Mungu akipenda, tutakutana tena Kesho kutwa kwa mara nyingine tena.

Nawapendeni sana,

Mbaki Salama, na AFYA tele
 
Sema huyu mjomba kashakuwa mtu mzima, lakini visuruali vyake vile na vimatako wazi sijui ataacha lini. Swaga nyingine ni za watoto wa secondary, watu wazima muache wajameni kha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom