Likoeni jahazi langu....mapenzi yamenikolea, nipo kitandani

Uwongo ni SUMU!!!!! Pole tu lakini hata ingekuwa mimi nahisi ningekuwa kama huyo dada!!! UWONGO NI SUMU!!! Kwa nini udanganye!!!!!!!!
Mshiki wahenga walisema ukimpenda mtu uongo lazima usemwe japo kidogo!
 
Mshiki wahenga walisema ukimpenda mtu uongo lazima usemwe japo kidogo!

Kaka kuna tofauti ya uongo na UWONGO!!!!
Mtu anakudanganya ukiupima huo uongo unapata walau kasababu kanakoleta maana kwa nini amekudanya!! Halafu unasemehe!! Lakini UWONGOoooooooooooooo mwingine bwana, duuu unasikia moyo unataka kupasuka ukiusikia. Usimdanganye wifi kaka!!!!
 
Duh! kazi ipo hapo au coz ulianza na uongo basi anahisi hata msamaha ulimwomba ni wa uongo,ila ufe moyo mjipe muda kama ipo ipo tu!!
 
Yeye kwa sasa anafanya kazi na mimi nilikua namalizia shahada ya kwanza. Nikawa nimemuambia kuwa nipo kwenye shahada ya pili badala ya kwanza. Huo ndio ulikua uongo wangu.

yale yaleeeeeeeeeeee, namiliki kiwanda cha ...................
pole sana, ndo umeshajivunza hivyo.
 
Ni kweli ndugu. Mapenzi yanatesa sana. Asikudanganye mtu. Hayana kumjua mtu hayo. Inawezekana pia kuwa huyo dada hatakuja kukupenda tena kama awali kwa kiasi ulichomkosea japo hukuweka hadharani. Ni kukubali tu kuwa uliharibu. Inawezekana pia hiyo hali ikamtoka taratibu kulingana na uzito wa kosa ulilotenda. Cha msingi endelea kumsisitiza na kutuma wa busara kuongea nae

Halafu kumbe uongo wenyewe ndio huu. Mzee ukachakachua kiulaiiini.

Originally Posted by jessetz
Yeye kwa sasa anafanya kazi na mimi nilikua namalizia shahada ya kwanza. Nikawa nimemuambia kuwa nipo kwenye shahada ya pili badala ya kwanza. Huo ndio ulikua uongo wangu
.

Ila wanawake acheni kuishi kinadharia sana. Huyo dada aliambiwa jamaa yuko Master Programe akaingia kkingi. Shame!!!
 
Bwana mkubwa, pole sana but if u really love her just set her free and if she was ment to be yours she will come back to you and if not just angalia ustaharabu mwingine. Never love anything too much, just learn to hate it enough.
 
Pole sana bro, always wanawake hawapendi mwanaume ambaye atamzidi eitha kielimu au kimaisha yani mwanaume anatakiwa awe zaid kielmu na kpato so alipojua ukweli ndo mana akaamua kukuacha sababu amekuzid kwa izo factor
 
Mwenzako naumia wewe unacheka......leo kwako kesho kwangu! Mapenzi ni kikohozi.......

Sijacheka kwa ubaya ila nimecheka tu huo uongo ulioamua kuutumia. wanawake siku hizi naona hawaangalii una elimu kiasi gani, bali una uelewa kiasi gani wa kupambanua mambo, unampenda na kumjali, unampagawisha kunako sita kwa sita mengine ni majaliwa. unaona hata siku hizi hadi wanamuziki wa bendi tu wanaoa wanawake wasomi wakati wao hata hawajasoma sana.
 
Back
Top Bottom