'likes' hazilipiwi LUKU!

sweetlady kumbe kuna mtoto kabisa huko! niwa jei efu?? mmemuita nani sasa?? no wonder juzi shemeji bishanga alikuwa anauliza jina la mtoto atakayekuwa zao la jei efu, hongereni mwaya!

We acha tu,nitonye mpaka swaga kabadili,anajiona jf ye ndo kidume cha ukweli,angejua...
 
Atakayegongea like hii post yangu ntaongea na Ziraili mtoa roho amsahau katika safari ya kuichukua roho yake. Na atakayeisoma bila kuilamba like ntatema mate chini kikojoleo chake kitabadilika jinsia afu kitahamia usoni.

Salam mkuu!
 
ndugu yangu Bishanga, kwa mimi muda mwingi kama 99% natumia cm so kitufe cha like hakipo. naomba mniwie radhi kwa hili. . . .

Kitufe cha 'like' kipo mkuu. Gonga kwenye desktop; unaweza ku 'like' au ku-rate thread, pia kuona avatar za akina Kongosho, Malaria Sugu, Mimi Mwanakijiji, The Boss, Bishanga, Nape, Iselamagazi, Sikonge, Tusker Baridiiii n.k.
 
Last edited by a moderator:
Mh. Nape naye yumo miongozi mwa wana JF wasiopenda kutoa 'like'! Yawezekana kitufe cha 'like' hakioni.
 
Bishanga, una kifua cha kupokelea Like zangu?
Kaa mkao wa kula.
Acha mizengwe m'bana...!!!
Mchanga wa pwani huo...!!!
 
Last edited by a moderator:
Kitufe cha 'like' kipo mkuu. Gonga kwenye desktop; unaweza ku 'like' au ku-rate thread, pia kuona avatar za akina Kongosho, Malaria Sugu, Mimi Mwanakijiji, The Boss, Bishanga, Nape, Iselamagazi, Sikonge, Tusker Baridiiii n.k.

Babaeleze.
 
Back
Top Bottom