'likes' hazilipiwi LUKU!

wengne hata ktufe cha like hatujui kkoje. Mods tuwekeeni tunaotumia sim bhana.
 
Afu sijaona beberu wala mkungu wa ndizi......nakupa mpaka siku ya kesho usipoleta naanzisha mgomo afu uone kama mwanenu atakua.
sweetlady kumbe kuna mtoto kabisa huko! niwa jei efu?? mmemuita nani sasa?? no wonder juzi shemeji bishanga alikuwa anauliza jina la mtoto atakayekuwa zao la jei efu, hongereni mwaya!
 
Am so lagging behind,let me hit the 'like' button more often.Mkuu Bishanga kweli akili zako ziko vizuri samaki wa kanda ya ziwa wamefanya kazi yao vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Atakayegongea like hii post yangu ntaongea na Ziraili mtoa roho amsahau katika safari ya kuichukua roho yake. Na atakayeisoma bila kuilamba like ntatema mate chini kikojoleo chake kitabadilika jinsia afu kitahamia usoni.

kikojoleo kikihamia usoni si ndo vizuri?
Nikikutana na kiduje kinamvuto naweka uso wangu kwenye maeneo ya kikojoleo chake namaliza mchezo....loh
 
Bishanga , thenk you kwa kuniweka no. 1 !!! Unajua wengine kugonga like wanaona ni kama watakuwa wamejipendekeza kwa mtoa post/comments!!

Hebu angalia mfano Angel Msoffe, likes zote (968)anazogongewa na watu lakini yeye kurudisha hata moja???!!! Inamaana toka ajiunge jf hakuna comment au post iliyomfurahisha..????
 
Last edited by a moderator:
avatar kama @angel msoffe ingekuwa ni kule FB kama ni rafiki yako ni kum-delete fasta... maana hawezi like post/comment yako yoyote...!!!
Haimaanishi ku-like kila post/comment yoyote, kuna zile fun/point comments/posts, hivi kweli @angel msoffe, toka june/2011 ujiunge jf hakuna post/comment yoyote iliyokufurahisha??
 
Back
Top Bottom