'likes' hazilipiwi LUKU!

sweetlady wengine nitazidi kuwajua taratibu, thanx for being one of my friends, kama bishanga ni shemejio, basi shemeji umepata hakuna litakalopindishwa, tena naamini mpango wa kando hana kabisa, nimekugongea 'LIKE' sitaki kumkwaza shemeji yako bishanga!!

Hahahahaa.....karibu sana cacico....tutazidi kujuana taratibu....najivunia sana kuwa na shemeji kama Bishanga....kuhusu mpango wa kando akija atafafanua mwenyewe na asipofafanua nikumbushe mi nifafanue lol....nashukuru kwa kunigongea like....hii inadhihirisha jinsi unavyomjali shemeji yangu....
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu Bishanga, kwa mimi muda mwingi kama 99% natumia cm so kitufe cha like hakipo. naomba mniwie radhi kwa hili. . . .

Nipe namba yako ya simu nikurushie m pesa ukanunue ipad au samsung galaxy tablet,fasta fasta kabla nannhii hajaja kwenye uzi huu.
 
Last edited by a moderator:
sweetlady wengine nitazidi kuwajua taratibu, thanx for being one of my friends, kama bishanga ni shemejio, basi shemeji umepata hakuna litakalopindishwa, tena naamini mpango wa kando hana kabisa, nimekugongea 'LIKE' sitaki kumkwaza shemeji yako bishanga!!
Muulize sweetlady hivi:
Kichanga hakijambo?
 
Hahahahaa.....karibu sana cacico....tutazidi kujuana taratibu....najivunia sana kuwa na shemeji kama Bishanga....kuhusu mpango wa kando akija atafafanua mwenyewe na asipofafanua nikumbushe mi nifafanue lol....nashukuru kwa kunigongea like....hii inadhihirisha jinsi unavyomjali shemeji yangu....
sweetlady friends forever!! mi sasa hivi nitakuwa ni mwendo wa ma 'LIKE' tu, ubahili uwe sehemu za chini tu, sa ubahili mpaka kwenye kubonyeza kitufe??? hii kubwa kuliko!!!
 
Back
Top Bottom