'likes' hazilipiwi LUKU!

Unajua hata kwa vitu vidogo kama hivi tunajua tabia za watu zilivyo..mimi nikikusoma umeongea point mara moja nakutwanga like yako...lakini kuna rafiki mmoja yeye mpaka aangalie na jina la mtoa mada!..Toeni bure maana na nyinyi mmepewa bure
BTW bishanga umetisha kwa kugundua hii ukarimu metric!..hala!
 
Kweli mkuu ana shule he is educated bwana. amesoma up to makerere bwana. bigup washaija.
 
Mkuu Bishanga mzima weye,
miss u bana (natafuta kesi, lakini potelea mbali)
 
Back
Top Bottom