'likes' hazilipiwi LUKU!

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Kumpiga mtu 'like' ni kumwonyesha unathamini mchango wake,tendo ambalo ni jema na la heri.Jamani we are family!
Ndugu mdau,hebu jipime kwa kutumia kipimo hiki cha ukarimu.Nenda kwenye profile yako chukua idadi ya 'likes given' gawa kwa idadi ya 'likes received' kisha zidisha mara mia moja. Kipimo hiki kinaitwa UKARIMU METRE (UM) na geiji yake inaanzia 100,hivyo UM yako ikizidi 100 hiyo ni chanya UM ikiwa chini ya 100 hiyo ni hasi UM.

Mfano: Bishanga likes given 4286 gawa kwa likes received 2763 zidisha na mia moja napata 155 UM.
Kwa kuperuss haraka haraka top five ya UM huku kwetu chichat na mmu ni:

1 mathematics:178/37 x 100 = 481 UM
2 MziziMkavu: 7691/2319 x100 = 331 UM
3 Mtambuzi : 3936/1959 x100= 201 UM
4 sweetlady:2591/1371 x100=188 UM
5 @Babudc: 5406/2895 x 100=187 UM

Bottom five ni:
1 Eiyer: 0/1139 x100=0 UM
2 @angelmsoffe: 0/968 x 100=0 UM
3 simplemind: 0/262 x100 =0 UM
4 madameB :0/56 x 100= 0 UM
5 kipipili: 0/39 x 100 =0 UM

Specia mention:mad:The Boss na Asprin kwa kutoa likes zaidi ya elfu kumi kila mmoja wao.
Cantalisia na FirstLady kwa kutoa likes zaidi ya 2400 kila mmoja wao.
Kongosho ametoa likes 3517 ila sijui jinsia yake,hivyo simpongezi.
ANGALIZO MAALUM:
Lizzy hajawahi kunipiga 'like' hata siku moja.

SAHIHISHO MAALUM:
Kamati ya rufaa imemaliza kikao chake na inatoa masahihisho yafuatayo:
Top five,kuanzia sasa wa pili katika top five ni Mamndenyi,MU yake ni 4619/1376 x100 =336
Hongera sana Mamndenyi!Pole kipipili,you are out of top five.
 
Mi nashangaa, kwanini mtu wakati yeye ni mmoja atoe likes nyingi zaidi ya alizopewa wakati memba ni wengi zaidi ya 10 alfu, mi sijui nijuzeni.
Mimi natoa likes marachache sana coz nilikuwa natoa sana hafu mi sipewi, nikaona ujinga nami sitoi nimekuwa mchoyo.
 
mkuu,mkono wa kushoto ukitoa wa kulia haupashwi kujua,we endelea kumwaga ma 'like' tu bila kujali unapokea.
 
cacico umeona vituko vya Bishanga eeh.....
sweetlady, nilimkubali toka siku ya kwanza nilivyoanza kuchangia nyuzi mbalimbali, namuonaga kama mtu mwenye sheria na mkali kiasi, huwa naogopa zake nyingine kuchangia na mtu anaitwa mtambuzi, huwa simuelewi, naonaga anakuja na cases mbalimbali na kusepa! huwa hayupo sana, kuna anaitwa rejeao, sijui kama nimepatia spellings, huyu na DC naonaga ni wakali sana! wadada nawaonaga mko pouwa ila eroticah ana vituko zaidi.
 
mkuu,mkono wa kushoto ukitoa wa kulia haupashwi kujua,we endelea kumwaga ma 'like' tu bila kujali unapokea.

Hebu nihabarishe ya mmoja kuchanga nyingi kuliko yeye kuchangiwa na watu wengi...hesabu nilipata F, ils bam nilifaulu.
 
sweetlady, nilimkubali toka siku ya kwanza nilivyoanza kuchangia nyuzi mbalimbali, namuonaga kama mtu mwenye sheria na mkali kiasi, huwa naogopa zake nyingine kuchangia na mtu anaitwa mtambuzi, huwa simuelewi, naonaga anakuja na cases mbalimbali na kusepa! huwa hayupo sana, kuna anaitwa rejeao, sijui kama nimepatia spellings, huyu na DC naonaga ni wakali sana! wadada nawaonaga mko pouwa ila eroticah ana vituko zaidi.
cacico nipe hongera kwa kuwa na shemeji mtata kama Bishanga....kiukweli yuko poa sana mie pia zamani nilikuwa naogopa hata kumquote lol....nilivyokuja mjulia .....we wacha tu siku hizi hata hela ya vocha namuomba ukijumlisha na hivi nimeolewa kwenye ukoo wao ndio kabisaaaaa.... Rejao hana noma akiwa chit chat wala mmu....mkikutana kwenye siasa loooh kama hajawai kukutana na wewe yeye pia ni kakangu wa damu..... Dark City mie huwa napenda sana michango yake kiukweli huwa imejaa mabusara sana , kuna mwingine anaitwa Mbu yeye na babu DC nawaweka kundi moja.....wana busara za kutosha.......... Mtambuzi huyu nadhani na uzee unachangia lol.....nna picha yake kichwani huwa nahisi ni mzee sana , yeye pia akiamua ana mabusara ila wakati mwingine anakumbukia enzi za ujana wake.... Erotica ana vituko haswa sio utani......
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu Bishanga, kwa mimi muda mwingi kama 99% natumia cm so kitufe cha like hakipo. naomba mniwie radhi kwa hili. . . .
 
Last edited by a moderator:
cacico nipe hongera kwa kuwa na shemeji mtata kama Bishanga....kiukweli yuko poa sana mie pia zamani nilikuwa naogopa hata kumquote lol....nilivyokuja mjulia .....we wacha tu siku hizi hata hela ya vocha namuomba ukijumlisha na hivi nimeolewa kwenye ukoo wao ndio kabisaaaaa.... Rejao hana noma akiwa chit chat wala mmu....mkikutana kwenye siasa loooh kama hajawai kukutana na wewe yeye pia ni kakangu wa damu..... Dark City mie huwa napenda sana michango yake kiukweli huwa imejaa mabusara sana , kuna mwingine anaitwa Mbu yeye na babu DC nawaweka kundi moja.....wana busara za kutosha.......... Mtambuzi huyu nadhani na uzee unachangia lol.....nna picha yake kichwani huwa nahisi ni mzee sana , yeye pia akiamua ana mabusara ila wakati mwingine anakumbukia enzi za ujana wake.... Erotica ana vituko haswa sio utani......
sweetlady wengine nitazidi kuwajua taratibu, thanx for being one of my friends, kama bishanga ni shemejio, basi shemeji umepata hakuna litakalopindishwa, tena naamini mpango wa kando hana kabisa, nimekugongea 'LIKE' sitaki kumkwaza shemeji yako bishanga!!
 
Back
Top Bottom