Like ya Roulette is so sexy!

tea_1405761c.jpg

Shkamoo Uncle... I miss you three (wala sio too)

Thank you Mwali afadhali maana tangu Husninyo aage hapa basi nimekuwa mpweke mpwa uliyebaki kuniangalia ni wewe tu...usisikilize hawa vijana hapa wengi wao ni matapeli
 
Last edited by a moderator:
Asprini, shem wako yupo tu. Amepotezwa na shughuli mbali mbali ila anapatikana ikiwa kuna emergency. Sasa nisaidie kitu kimoja: waambie hawa watoto ( platozoom, Erickb52, Young_Master) watulie. wasome kwanza, wamalize masomo. hicho wanacho kifanya na sabuni, huku wakikodolea avatar mimacho, wataishia kuharibu screen za laptop tu (dixit Faiza Foxy). Hiyo avatar nimeiondoa maksudi, ila nimeiacha kwenye album yangu on my JF page.
Wewe mwenyewe mzima lakini?
 
Mie mzima sana. Ukimuona mpe salamu zangu nyingi sana. Hawa watoto ntawapeleka twishen muda si mrefu, si kosa lao, tatizo wamekulia kwa mjomba.

Sina haja ya kwenda kwenye album yako. Nikitaka kukuangalia wewe na Shem wangu AshaDii huwa nairudia hii picha yenu alonitumiaga. Naiangalia mpaka nachoka. Hivi hapa mlikuwa wapi?

attachment.php
 
Dah!!! Umejuaje...!!! Roulette ulikuwa unanichungulia nini?
 
Last edited by a moderator:
Mie mzima sana. Ukimuona mpe salamu zangu nyingi sana. Hawa watoto ntawapeleka twishen muda si mrefu, si kosa lao, tatizo wamekulia kwa mjomba.

Sina haja ya kwenda kwenye album yako. Nikitaka kukuangalia wewe na Shem wangu AshaDii huwa nairudia hii picha yenu alonitumiaga. Naiangalia mpaka nachoka. Hivi hapa mlikuwa wapi?

attachment.php
Hahahahaha, Usipaone hivo ukapadharau, hapo ni Dubai ndani kabisa, shopping center fulani maarufu. Mimi of course ni huyo wa Manchester... hahahaha
 
Asprini, shem wako yupo tu. Amepotezwa na shughuli mbali mbali ila anapatikana ikiwa kuna emergency. Sasa nisaidie kitu kimoja: waambie hawa watoto ( platozoom, Erickb52, Young_Master) watulie. wasome kwanza, wamalize masomo. hicho wanacho kifanya na sabuni, huku wakikodolea avatar mimacho, wataishia kuharibu screen za laptop tu (dixit Faiza Foxy). Hiyo avatar nimeiondoa maksudi, ila nimeiacha kwenye album yangu on my JF page.
Wewe mwenyewe mzima lakini?

Nitake radhi khaa!!............na nimesharipoti kwa mods
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom