Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini

Mtaka cha uvunguni shart ainame, sasa akiinama hadi mgongo umuume shauri yake, swali langu ni kuwa, huyo mumewe haendi kazini kwani mpaka ampe dozi kutwa mara tatu?

Sio kutwa bali ni usiku saa ya kulala kama lisaa zima hivi, katikati ya usiku na asubuhi lazima amuamshe mamsap
 
Habari za masiku wanaJF wenzangu! Nashukuru mola tumeamka salama salmin....
Kama ilivyo ada kwa Mama kubwa kusakanya ushauri huku na kule pale anapofwatwa na jamii inayomzunguka. Pindi niliporudi safari akaja mwanadada mtanashati kwangu akiomba ushauri afanye nini maana anaona maji yamezidi unga. Mwanadada huyu ameolewa yapata miaka mitatu hivi iliyopita na wamejaaliwa kupata mtoto mmoja anasema walipofunga ndoa walikuwa wanakutana kimwili na mumewe mara tatu kwa wiki...baada tu ya kujifungua mume anataka ligwaride mara tatu kwa usiku yaani kama dozi ya panadoli kama sio Asprini. Anaomba ushauri afanye nini maana wakati mwingine inamlazimu kwenda haja ndogo kwanye ndoo ya maji kupooza huko maana ni hakufai jamaa amemsugua hasa. Nawaombeni tumshauri huyu mama afanyenini kwani ndo ipo mashakani na akikataa kipondo kinafuata
Kuna wandoa wengine wanakula tunda mara 3 kwa mwezi yeye kwa siku anaomba ushauri wa nini ajinome tu hii wenzeka wanaiomba yeye anaomba ushauri?
 
Kuna wandoa wengine wanakula tunda mara 3 kwa mwezi yeye kwa siku anaomba ushauri wa nini ajinome tu hii wenzeka wanaiomba yeye anaomba ushauri?

Ishu hapa ni msuguano unaotokea hivyo inamlazimu kukojoa kwenye ndoo iliyojaa maji kunusuru majeruhi yaliopatikana
 
Mwambie avumilie tu Ndoa ina shida na raha kwa sasa mwanaume ndo anapata raha yeye anapata karaha.

Kama ameshindwa kuhimili mikimiki amruhusu mwanaume atafuta nyumba ndogo awe anapoozea kwanza huko

Mume ni mwaminifu katika ndoa yake na hataki nyumba ndogo.... anataka kula maharage tuu hataki mabo ya kubadilisha mara nyama mara samaki
 
Hellow darling....my sweet dig dig i dreamed about u last nigth

Oooww!!!! utaniambia PM what the dream was all about hapa si unajua maadui zangu Bigirita na wengineo wananiwinda sana, Swthrt jana ndio uliamua utokomee huko kabisaa hata uliporudi ukunifahamisha
 
Back
Top Bottom