Ligi ya vilabu wanawake yakonga mashabiki dar.

Swahilian

JF-Expert Member
Apr 28, 2009
591
66
Ligi ya vilabu vya wanawake mkoani dar, imeanza kwa kishindo huku mashabiki wa soka wakipata burudani isiyo kifani katika uwanja wa karume jijini, timu kama sayari,jkt,mburahati na mdela queen's zimemesha kuwa tishio huku baadhi ya wachezaji wake wakiondoka na lundo la magoli ya kufunga, kama ilivyo ada mfungaji wa magoli zaidi ya 3, huondoka na mpira, jambo ambalo limepelekea baadhi yao kukosa mipira na hasa kutokana na wafungaji kuwa zaidi ya 1
 
Back
Top Bottom