Ligi ya UK mwaka huu imedoda!

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Nimezitazama sana team zote za ligi ya Uingereza mwaka huu hakika kiwango chake kimepungua ajabu..naona Ligi ya Spain na Italia bomba mara kumi.
Nachokoza!
 
Nimezitazama sana team zote za ligi ya Uingereza mwaka huu hakika kiwango chake kimepungua ajabu..naona Ligi ya Spain na Italia bomba mara kumi.
Nachokoza!
Kweli unachokoza. Subiri mashambulizi. Wamepigwa butwaa sababu ya wasiwasi wa kumpoteza Legend mmoja,maana hata wanaoshinda hawana raha pia!
 
Nimezitazama sana team zote za ligi ya Uingereza mwaka huu hakika kiwango chake kimepungua ajabu..naona Ligi ya Spain na Italia bomba mara kumi.
Nachokoza!
ngoja wenye timu zao wanazoziita top 4 zifanye mauaji utawaona,au unawatania kijanja nini yale matokeo ya wiki 2 zilizopita?lol shauri yako,patakuwa hapatoshi humu yani sio uk original tu hadi uk kitunda huku utawasikia na fulu kuwasifia wachezaji wao ni bora dunia nzima na hakuna ligi kama yao,kweli umewachokoza
 
Duh maajabu ama kweli washabiki wanakubali team zao zimedoda. Nilitegemea watakuja na mashambulizi yasiyochagua wala staha, lakini mmmmmh wanakubali. Hizo big four - Kuna team zitatolewa kombe la Ulaya mapema kisha kuna team mbili hazitakwenda ligi ya Ulaya ya mwaka kesho - Majibu yake nimeombwa niyahifadhi!..
 
Kwa vile upinzani mkubwa kutoka timu ndogo ndio unahisi imedoda? endelea kutizama ligi lako la spain hilo ambayo timu ya tatu mwisho wa msimu iliachwa kwa point 29.

Kilicho fanyika kunatimu kubwa kiwango chao kimeshuka kidogo lakini hio haifanyi ligi kudoda kwani upinzani wanaopata kutoka timu changa unachangamsha zaidi ligi.Tunapenda kupata surprise kwenye mechi kuliko kila siku kujua ni timu gani inaenda kushinda kabla ya mechi.
 
Mbona Atletico Madrid walianza kushika nafasi 19,18 na mwisho wa msimu nafasi 9 ktk la liga na wamechukua uefa europa cup ikiwemo liverfool na wamewachapa inter milan ktk super cup 2-0?wametoka na kombe kulinganisha na baadhi ya top 4 england samahani lakini natonesha donda ila timu sitaji ng'o :biggrin1:
 
Back
Top Bottom