Ligi ya Uingereza: Tanzania mambo huwa hivi

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Wakuu ni miezi michache tu ijayo tutaingia kwenye kashikashi za ligi ya uingereza na hapa kwetu mashabiki hadi vijijini utaka kuinjoi kila moment ya uondo huu.

Lakini mara nyingi visenti vya kiingilio huwa taabu kweli na vijana huwa maskini wanaishia kupiga chabo kila lilipo tundu ilimradi na wao wafaidi.:D

Vijana hawa kwenye moja ya mikoa ya Tz bara wakipiga chabo hilo:D

5215d1247217696-ligi-ya-uingereza-tanzania-mambo-huwa-hivi-pict1086-i.jpg
 

Attachments

  • PICT1086 i.jpg
    PICT1086 i.jpg
    44.6 KB · Views: 342
Mchukia Fisadi mbona panataka kufanana na pale Tandale kwa Mtogole kwenye kona ya kwenda Kijitonyama kwa Ali Maua
 
Back
Top Bottom