Ligi ya Mabingwa Ulaya: Real Madrid yanyooshewa njia!

Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
4,343
6,403
Ratiba ya robo fainali -fainali ya ligi ya mabingwa ulaya imetoka,na kuonyesha njia rahisi kwa Real,kufika fainali!
Imepangwa hivi:-
AC MILAN VS BARCELONA,CHELSEA VS BENFICA. Washindi wa michezo hiyo miwili,watakutana nusu fainali. Michezo mingine miwili,ni kati ya REAL VS APOEL,mshindi atakutana na mshindi kati ya MARSEILE VS BAYERN.
Michezo ya kwanza itakuwa TRH 27/3 na 28/3 na marudiano 3/4 na 4/4.
 
The special one versus pep final! Ngoma itanoga hapo niaje? Huku ndoo ya la liga ikitegemewa kubebwa na mou! Mwaka huu mwanangu ntamwita mourinho!!
 
usiipuze Bayan jamaa wako vizuri sana wana ruben ambeye ndio mess wao.
 
Hurrrreeeee!
Kwa mtaji wa kabumbu walilotembeza juzi Chelsea njia nyeupe nusu fainali!
 
Fainali Barca vs R Madrid! Mourinho anaweza aandika historia nyingine hapa

yaani hawezi kukosea tena kama last year..yaaani barca mwaka huu wanaweza maliza bila ndoo ya ligi na ya uefa ...hivi mani yuuu hawachezi mashindano haya au nimeangalia vibaya ratiba
 
Fainali Barca vs R Madrid! Mourinho anaweza aandika historia nyingine hapa

Hili ndilo ninaloomba litokee.
Na akifanikiwa tu kuweka historia Spain basi ni lazima arudi England ili akamilishe ukurasa wake. Huyu jamaa kweli ni "THE SPECIAL ONE"
 
Betting inaruhusiwa sio maneno na thread isifutwe mpaka final, Chelsea kama amuioni vile mie na bet Chelse final. Naanzia na 10,000 nyie hata mkiweka jiwe inatosha.

Jifunzeni kwa Man U na Man City huko waliko na yaliyowakuta na dharau zenu, kuanzia wiki ijayo watu wanapasuka
 
Duh,
So kama tusigetolewa kiume, tukapita tungekutana wabaya wetu, wapiga pasi wa Catalan.
 
Betting inaruhusiwa sio maneno na thread isifutwe mpaka final, Chelsea kama amuioni vile mie na bet Chelse final. Naanzia na 10,000 nyie hata mkiweka jiwe inatosha.

Jifunzeni kwa Man U na Man City huko waliko na yaliyowakuta na dharau zenu, kuanzia wiki ijayo watu wanapasuka

SONGAMBELE,hatukutegemea kama CHELSEA ita-SONGAMBELE! Hakika hatukuamini maneno yako,kama CHELSEA wana uwezo wa kufika hata nusu fainali! Binafsi,nakupa hongera kwa utabiri wako!
 
Back
Top Bottom