ligi kuu bongo live itv

matambo

JF-Expert Member
May 14, 2009
727
117
haya kwetu sie wapenzi wa soka hasa soka la bongo tutaweza kujinafasi tena kwenya shamba la bibi uwanja wa uhuru twende wote tushuhudie na tuweze kuona wapi pa kurekebisha ili tuinue soka letu na inshallah mwaka 2012 nasi tuwe kwenye AFCON(CAN) sijui itakuwa nchi gani nimesahau

kwa nyie mlio mbali na dar basi ITV itawaletea mechi hizo live bila uzushi kwa zile mechi za dar

ushindani wa kibiashara wa TBC1 NA ITV unatakiwa uwe wa dizaini such that consumers tunafaidi zaidi
 
Tatizo camera mpira huko huku camera inaonyesha kule kisha hakuna kurudia tukio ukiangalia lazima macho yakuume tu
 
Tatizo camera mpira huko huku camera inaonyesha kule kisha hakuna kurudia tukio ukiangalia lazima macho yakuume tu

ndio maana kukawa na viingilio unaeona huoni vizuri ama longolongo
una enda uwanjani
 
jamani hivi lini hii ligi ya nyumbani itakuwa inaweza kuonyeshwa nje ya nchi hata wale watanzania walio nje waweze kuiona? na kama hilo haliwezekani basi hata zile mechi za kimataifa za timu yetu ya taifa zinazochezwa hapo Dar lini tutaanza kuziona live thr online kwa walio nje ya nchi? tatizo ni nini???
 
Karibu Vituo vingi vikubwa vya TV nchini hurusha matangazo yake kwa kupitia Satelite na hivyo kuwawezesha walio nje ya nchi, hususan barani Afrika, kuona ili mradi dishi lako lielekezwe kwenye masafa husika
 
Back
Top Bottom