Ligi ipi bora?

Ligi ipi kati ya hizi ina kuvutia?

  • Premier League

    Votes: 3 42.9%
  • Seria A

    Votes: 0 0.0%
  • La Liga

    Votes: 2 28.6%
  • Ligi Kuu Bara

    Votes: 2 28.6%

  • Total voters
    7
Hakuna jibu sahihi kati ya hizo choice. Ongeza NBA katika hizo choice zako ili liwepo jibu sahihi miongoni mwa hizo.
 
Hakuna jibu sahihi kati ya hizo choice. Ongeza NBA katika hizo choice zako ili liwepo jibu sahihi miongoni mwa hizo.

Yah, ilitakiwa ijulikane ni league ya mchezo gani! Maana kuna ligi nyingi. Nadhani alimaanisha Mpira wa Miguu (Soccer).
 
Mi nadhani Ligi Kuu Tanzania Bara ni bora sana, kwa sababu ni ligi ya nyumbani na nina uwezo wa kuiona live wakati wowote ikichezwa maeneo ninayoishi.
 
Back
Top Bottom