Darlingtone
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 390
- 146
Nini maana ya NDOA kwanza... na Umuhimu wake ni nini?
ahh kuna sehemu wanavaa nguo mbili...?Jamani haya maulizo mengine yanaudhi humu!
Hivi hatujua kila kitu kina umuhim wake?
Mbona watu wanavaa nguo zaidi ya mbili sehem moya!
Kwani what's necessitous?