Life is too tough...maisha magumu....

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
matofali.jpg


Duh jamaa kakomaa hivyo hivyo mpaka mambo ya ujenzi yaeleweke.....
 
maisha bora kwa kila mtanzania.
wakati ghadafi akijengea wananchi wake nyumba kikwete ameachia wananchi wajiju.
 
Hii dunia hii , hapana
wengine hata tofali hawajui ni nini
wengine bila tofali hakuna kitu tumboni.
World is not fair .......
 
Halafu akimaliza kabanda kake Magufuli anakuja anakapiga chini eti kako kwenye road reserve na hakuna fidia. Kudadadeki ataua mtu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom