Mallaba
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 2,554
- 47
njama za kumwondoa huyo PM ili iweje?au inawezekana ni njama za ghadafi kumwondoa kwa aibu PM?
njama za kumwondoa huyo PM ili iweje?au inawezekana ni njama za ghadafi kumwondoa kwa aibu PM?
Ni kweli wamechoka, wanadiriki hata kupambana na Ghadafi basi wako tayari kujitoa mhanga!Waarabu wamekasirika sasa, its about time all the odd get fixed!
crapThey are just wasting their time. The man will leave when he wants to. Demonstrations will not move him an inch.