LIBYA: Pigo kubwa, huzuni na simanzi!

Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,

In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,

Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.

Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.

Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.
Pole sana mkuu, Kilicho na mwanzo...............

Ushahidi, tena ni Gaddafi huyuhuyu aliyekuwa anawasaidia waasi wa Liberia kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe na aliisaidia silaha Uganda kipindi cha vita na Tanzania. Labda atakumbukwa na waislamu kwasababu aliwajengea misikiti na kuwapa tende kipindi cha mfungo.

Acha uchoyo wa roho. Eti akiwapelekea tende waislam. Inauma eeeh. Inachoma eeeh.

Yaani unaombea wenzako wauane, hata dikteta Gaddafi hakuwa na roho mbaya kama yako.

Tuachane na hayo soma hapa £1m for Gaddafi 'dead or alive'

A £1 million reward has been offered for the capture of Colonel Muammar Gaddafi as Foreign Secretary William Hague called on the Libyan dictator to recognise his 42-year rule was over and stand down his forces.
...........................................huyo aliyetoa hiyo ofa ni bora akamnunulie mkewe Gagulo ili ajistiri coz wao hawana ustaarabu wa kuvaa vitu ndani.
So atamsaidia mkewe akitembea masaburi yasiwe urojo

Nimefatilia kwa umakini sana kile kinachoandikwa hapa nanyi wadau, nilichojifunza ni kwamba wengi wa wachangiaji hawajui kinachoendelea na wamefumbwa na propaganda za vyombo vya habari vya magharibi... Ni kweli tuna utapiamlo wa kufikiri na kufanya uchunguzi wa mambo ya kimataifa na hili ni tatizo la kitaifa, hatuko salama..

Tumieni muda huu kufikiri na mfanye uchunguzi issue ya Libya ni zaidi ya kusikia na kusoma.

kuna propaganda zimepangwa ulimwengu
uaminishwe kuwa Kamanda katutoka.
Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe
kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu
''We know he will not die.'' We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
Allah akbar

Tatizo gadaf hakusowa akama za nyakati utakumbuka kuwa pald maandamano yalipoanza mara moja manowari kubwa kuliko zote ya marekani ikiwa imebeba ndege za kivita zaidi ya 15 ilitia nanga karibu na tripoli kwa kisingizio cha kufuatilia kwa karibu.Angekuwa mtu mjanja palepale angesitisha mauwaji ya waandamanaji lakini wapi?Few days letter tukasikia watapeleka ndege ambazo hazina marubani ilikulenga shabaha.Jamaa bado akajifanya mjanja sasa kwisha habari yake.Marekani Ni NOUMA.NAITAENDELEA KUTAWALA DUNIA KWA KIPINDI KIREFU SANA.

Hivi unaongea kwa ushahidi au ushabiki!?

Nawewe kwa kuchanganya siasa na dini nakuaminia, ila sikulaumu maana ukichanganya hivyo vitu viwili lazima uwe chizi.
Ila machizi nao ni watu pia hivyo ondoa shaka juu ya mustakabali wako.

In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,

Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.

Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.

Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.

Sema wampenda kwa sababu kakupa scholarship, acha kurembesha maneno. Na hiyo siyo matumizi ya raslimali za libya kwa walibya.

Pili kama kweli wampenda na wachukia waasi kwanini usibadili uraia ukajoini kwenye loyal force la gadaffi ama waweza pigana kama mamluki.

Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,

In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,

Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.

Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.

Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya Somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.

Wewe unawalaani walibya kwa sababu unalinganisha Libya na nchi yako ambayo ina watu wengi wanaodhani rasilimali za nchi ni za Rais hivyo akiwapa huduma kidogo basi anawapenda. Lakini Walibya wanajua kuwa Rasilimali ni zao na Gaddafi ametumia vibaya nafasi yake ya uongozi kwa kujilimbikizia mali yeye na familia yake.

Halafu kaifanya Libya ni shamba la urithi kwa kuanza kumuandaa mtoto wake amrithi, kakandamiza sana wapinzani ikiwa ni pamoja na kuwaua na vifungo vya maisha. Amewafanya walibya kama wake zake kwa kufanya maamuzi ya ovyo mno hasa kimataifa kwa kuunga mkono tawala za kiimla kama Mugabe na Mseveni.

Kaunga mkono vikundi vya kigaidi kama vile IRA na kagharamia mwenyewe ulipuaji wa PANAM, Disco kule Berlin na kumuua polisi wa kiingereza wakati akisimamia waandamanaji wa kilibya waliokuwa wakipinga utawala wake ktk ubalozi wa libya huko London. Isitoshe alikuwa kigeugeu mara ajifanye anataka muungano wa Africa na hapohapo akashauri Nigeria igawanywe kati ya kaskazini ya waislam na kusini ya wakristo.

Haya yote aliyafanya bila idhini ya walibya, kwa muda mrefu Gadafi alijihesabu kama mwarabu na libya ni nchi ya kiaarabu hivyo alihamasisha sana ukandamizaji wa waafrica wachache kiasi ambacho wengi walikimbilia Chad. Alikuja kubadilika alipokuta waarabu wamemsaliti ktk kipindi cha vikwazo vya kiuchumi alivyo wekewa na magharibi na baadhi ya mataifa ya kiarabu kuunga mkono kwa dhati vikwazo dhidi yake tofauti na Afrika ambayo pamoja na kutokuwa na uwezo lakini walionyesha kuwa pamoja nae kama wanavyoonyesha sasa.

Kwa hiyo walibya wana haki ya kumtupilia mbali kwani anatumia rasilimali za walibya vibaya kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Thank you bro. mie nipo pamoja na Gadafi. Wale tu wenye uvivu wa kufikiri watawaunga mkono waasi na mabepari wao.

Hapana kinja wewe ndo hujui kinachoendelea. Wewe bado unadhani tunaongelea ukumbozi, miaka hii tunaongelea uhuru na haki ndani ya democracy. Kwa miaka hii watu kama Gaddafi hawatufai ila ktk miaka ya 1960 na 1970 akina Gaddafi ndio walikuwa wanatufaa. Lakini kama unaona Gaddafi anakufaa ujue bado mawazo yako yako nyuma kwa miaka 40.

Wewe unawalaani walibya kwasababu unalinganisha Libya na nchi yako ambayo ina watu wengi wanaodhani rasilimali za nchi ni za Rais hivyo akiwapa huduma kidogo basi anawapenda.

Lakini Walibya wanajua kuwa Rasilimali ni zao na Gaddafi ametumia vibaya nafasi yake ya uongozi kwa kujilimbikizia mali yeye na familia yake, halafu kaifanya libya ni shamba la urithi kwa kuanza kumuandaa mtoto wake amrithi. kakandamiza sana wapinzani ikiwa ni pamoja na kuwaua na vifungo vya maisha.

Amewafanya walibya kama wake zake kwa kufanya maamuzi ya ovyo mno hasa kimataifa kwa kuunga mkono tawala za kiimla kama Mugabe na Mseveni, kaunga mkono vikundi vya kigaidi kama vile IRA na kagharamia mwenyewe ulipuaji wa PANAM, Disco kule Berlin na kumuua polisi wa kiingereza wakati akisimamia waandamanaji wa kilibya waliokuwa wakipinga utawala wake ktk ubalozi wa libya huko London.

Isitoshe alikuwa kigeugeu mara ajifanye anataka muungano wa Africa na hapohapo akashauri Nigeria igawanywe kati ya kaskazini ya waislam na kusini ya wakristo. Haya yote aliyafanya bila idhini ya walibya.

Kwa muda mrefu Gadafi alijihesabu kama mwarabu na libya ni nchi ya kiaarabu hivyo alihamasisha sana ukandamizaji wa waafrica wachache kiasi ambacho wengi walikimbilia Chad.

Alikuja kubadilika alipokuta waarabu wamemsaliti ktk kipindi cha vikwazo vya kiuchumi alivyo wekewa na magharibi na baadhi ya mataifa ya kiarabu kuunga mkono kwa dhati vikwazo dhidi yake tofauti na Afrika ambayo pamoja na kutokuwa na uwezo lakini walionyesha kuwa pamoja nae kama wanavyoonyesha sasa.

Kwahiyo walibya wana haki ya kumtupilia mbali kwani anatumia rasilimali za walibya vibaya kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Aisee Kibona una uchungu na wazungu wewe. Vipi mbona hujatwambia kama ulihudhuria harusi ya Prince wa uingereza iliyotumia pesa nyingi za walipa kodi?. Vipi bushi wampenda sana eeh alimtwanga Sadam dikteta.

Hapana kinja wewe ndo hujui kinachoendelea. Wewe bado unadhani tunaongelea ukumbozi, miaka hii tunaongelea uhuru na haki ndani ya democracy. Kwa miaka hii watu kama Gaddafi hawatufai ila ktk miaka ya 1960 na 1970 akina Gaddafi ndio walikuwa wanatufaa. Lakini kama unaona Gaddafi anakufaa ujue bado mawazo yako yako nyuma kwa miaka 40.

Acha mambo yako vita ya Libya ni vita ya mabepari sio sisi tulio kwenye ujamaa. Demokrasia imekuja ili waweze kukunua kirahisi kwa misaada ya kampeni na ukishindwa wakupe siraha uingie mwituni.

Gaddafi alikuwa kiongozi dikteta, muuaji na mdhulumishi aliyewahadaa wananchi wake kwa vimisaada vidogo huku yeye akijilimbikizia mali nyingi. Alidiriki kuwaua wapinzani wake na kuwafunga kwa muda mrefu wote wanaomchukia. Hakuna kingine anachostahili ili kukabiliana na mashtaka yake kwenye ICC na ikiwezekana anyongwe ili akaonane na mwenzake Saddam.

huku kwetu mbona hata hivyo vimisaada vidogo hatuvipati!! tunasikia tu kina Shimbo wana trillion 4 kwenye akaunti zao!! na wengine wanaziita vijisenti tu, mbona kina babu Seya na wanae wamefungwa!!?? tunasikia tu mabinti wadogo warembo wapo mjengoni wabunge viti maalum au wakuu wa wilaya!!!, ni kheri kuwa na kiongozi mmoja kwa muda mrefu anayeijali na kuiletea maendeleo nchi yake kama Ghaddafi, kuliko kuwa na viongozi wengi wanaojazana kina Luhanjo, Jairo, Ngeleja, Shimbo, na wakina nanilii wale kina naniliii wale...kwa vipindi vifupi vifupi!! ona sasa miaka 50 ya uhuru bado tunalia na vitu kama umeme!!!!??? kweli Ghaddafi alikua kiongozi shupavu...

Tupo sote @ Bright hapo wazungu wasitudanganye na demokrasia wakati wao wana malkia na wafalme lakini hawawagusi. kazi kuja afrika kufadhili majangili wanajiita rebel na kuchota rasilimali zetu na kuwahadaa viongozi wetu na kusaini mikataba ya kishenzi. Mbaya wetu ni mzungu tu ameamua kurudi kidizaini. Bila kumtegua mzungu hawa viongozi wetu ni marafiki zake wataendelea kuwa madarakani tu kwa nguvu ya misaada ya dezo dezo huku rasilimali wakichukua wao.

Kitu kimoja ambacho kinanichanganya; Gadafi anaondoka madarakani kwa nguvu ya uma (kama Mubarak wa Misri na Ally wa Tunisia) au kwa nguvu ya Nato?NATO inalinda watu kwa kuua watu? Wote tunajua ilikuwaje Rwanda na Burundi in 1994,was NATO not there? mbona hawakupeleka majeshi yao pale?kuna mifano mingi kama hiyo,tusidanganyike.Westerners wana maslahi popote pale wanapotia mguu. Nawaonea huruma rebels wa Libya,wamefanywa chambo cha kuiuza nchi yao wenyewe na historia itawahukumu milele.

Similar Discussions

Back
Top Bottom