Libeneke la CCM Hewani.....

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Chama dume, chama tawala , chama chenye dola , chama cha ccm kimeanzisha blogu ambayo pamoja na kuhabarisha habari za mapema za shughuli za chama, lakini itakuwa ikiyapa kipaumbele pia matukio ya kijamii, kisiasa, kibiashara, uchumi, burudani, sanaa na michezo na pia kuyapokea na kuyasambaza maoni ya wengine ambayo hayatakiuka maadili ya vyombo vya habari.

Anuani ya Blogu ni : CCM Chama Blog
Link : Chama Cha Mapinduzi Blog

Karibuni wote wana JF tujimwage kwenye blog ya chama na yenye kutoa habari za ukweli na uhakika

CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
 
toka hapo .huna lolote gamba wewe!
 
kwa kheri na ilo libeneke lenu, it seems you are trying to die hard
 
Mambo hayoooooo: Link : www.ccmchama.blogspot.com

afadhali ungetumia Id nyingine kutambulisha hii blog .... una history ya ujinga na brain iliyofanyiwa modification
 
Kupitia au kushiriki kwenye hiyo blog ni sawa na kusoma gazeti la Uhuru, Mzalendo au kuangalia TBC 1, sidanganyiki na sitapoteza muda katika hiyo blog,
 
afadhali ungetumia Id nyingine kutambulisha hii blog .... una history ya ujinga na brain iliyofanyiwa modification

Hapa mie na ww nani sasa anaonekana ni mjinga? na wengi tungekuwa na mawazo kama yako, tusingepata ma genius wa ukweli mie

kwa kheri na ilo libeneke lenu, it seems you are trying to die hard

Chama ni imara na kinaendesha nchi na ww ukiwa ni mwananchi wake unae tekeleza sera zake, kidumu chama tawala !

Mimba hii! haina muda itatoka tu! yani mnatushawishi kuzuru blogo ya kumsafisha JK kweli mmeishiwa! hawezi kusafishika abadan ebu fikiria Huu ni mwaka wake wa saba JK akiwa raisi wa nchi hii hata Maka (Hijja) hajaaenda hivi kweli mtu huyu ana imani kweli kama watu wanavyojaribu kumsafisha kwenye hiyo damn blogo!!! kama mtu hukumjua wala kumkumbuka na kumshukuru Muumba wako aliyekuumba na aliyekufikisha hapo unatudhibitishiaje kweli kiongozi huyu ni mwema kwetu! He is nothin but a vampire ( Kumbumba Mzee Mwinyi katika miaka yake 10 alipiga hijja mara 5 hii ilikuwa dalili ya chembe ya imani ndo maana hata baada ya kutoka Mungu alimrejeshea heshma yake)
 
Hamna jipya hapa!mlianzisha blog ngapi za chama mpaka leo na ngapi zinafanya kazi?vua gamba wewd vaa gwanda!
 
Hatua nzuri lakini mbona imekaa kiserikali zaidi kuliko mambo ya chama. Nilitegemea kuona mambo ya vikao vya matawi ya chama ngazi zote badala ya mambo yanayo muhusu mkuu wa kaya na baraza lake jipya mawaziri
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom