LHRC yaitisha Maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS

lazima watwambie nani mmiliki wa kweli sio yule ustadh wa zanzibar anajifanya sijui katoka wapi huko!!!!!!
 
Kwa uharisia. Maana ya serikali ni Watu(wananchi), na watu hao sasa wameishasema kwamba DOWANS hailipwi ng'ooo: na Watu hao tayari wameamua kuwa tarehe 14/10 ni maandamano ya Nchi nzima, sasa aje ajitokeze mtu yeyote wa kuyazuia, uamuzi wa wengi daima ni uamuzi sahii
 
Huku wana harakati wa tanganyika wakijiandaa na maandamano ya bila kikomo kwa siku 10 kuanzia tarehe 14-10-2011...tumekuwa tukipata umeme 24/7 tangu Kikwete,Rostam,Lowasa na vikaragosi wao kuhakikishiwa vijisenti vyao bilioni 111. Je wameamua kutupa umeme kama zawadi au mtera na kidato imejaa maji au ni zawadi ya ushindi wa CCM huko Igunga au wana sherekea mauji waliyo yafanya huko Igunga na huko India, je wadanganyika tutathubutu kuandamana au tunafanya ya kule washington DC ya kutishia nyau.

Akili kichwani..
 
Natamani samwel sita na wanaojiita wapambanaji wa ufisadi ndani ya ccm wawepo kuonyesha hii kitu sio siasa coz kuna sehemu huku site washaanza kuwa chadema wana mkono wao hapo,haya shime wanajamvi ndio muda wa kuonyesha uzalendo kwa nchi yetu tujitokeze kwa wingi kupinga dhuluma ya hawa mashetani.
 
Waunganishe na ya CDM, na madai yaongezeke! Wekeni na la umeme, mikopo ya wanafunzi, Nyumba za polisi na mishahara yao, madai ya waalimu pamoja na mikataba mibovu kama ya UDA, Kiwira na zile 3T za mnajimu.
Maandamano haya,yawe ya kuomboleza pia kifo cha masoud aliyeuawa kikatili na CCM
 
Natamani samwel sita na wanaojiita wapambanaji wa ufisadi ndani ya ccm wawepo kuonyesha hii kitu sio siasa coz kuna sehemu huku site washaanza kuwa chadema wana mkono wao hapo,haya shime wanajamvi ndio muda wa kuonyesha uzalendo kwa nchi yetu tujitokeze kwa wingi kupinga dhuluma ya hawa mashetani.

Vyombo vya habari vifikishe taarifa kwa watanzania, wazalendo watatoka naamini akiwemo sitta na wengineo waliokuwa kwenye tume aliyoiunda. Maandamano yanaanzia wapi? Mimi nitaandamana ikibidi na familia yangu. Tanzania bila wizi wamali za umma inawezekana.
 
Sina mengi,lakini maandamano ya tar 14 nchi nzima tutaueleza ulimwengu jinsi Masoud wakala wa CHADEMA alivyouawa kikatili na CCM/SERIKALI pale Igunga.
 
Mimi nitaitisha maandamano nchi nzima kudai Dowans ilipwe haraka ili deni lisszidi kuongezeka, kisha nitaitisha maandamano kudai yule aliyesababisha hili deni (Mh. Sitta) asulubiwe hadharani ili iwe fundisho kwa wengine. Siwezi kuandamana kupinga hukumu ya kisheria.
 
Hivi huyu Masoud amewahi kuleta mabadiliko gani Chadema? Au ndiyo yale mambo yetu ya kiswahili ooooh marehemu alikuwa mzuri sana ooooh marehemu alikuwa anmpenda sana mke wake kumbe marehemu mwenyewe alikuwa chapombe kila siku anatukana watu hadharani.
 
Masoud ni mpambanaji na amefia vitani, huyu ni shujaa,alikubali kutoka Dar kwenda Igunga kutetea chama chake.
 
Sina mengi,lakini maandamano ya tar 14 nchi nzima tutaueleza ulimwengu jinsi Masoud wakala wa CHADEMA alivyouawa kikatili na CCM/SERIKALI pale Igunga.

Kumlilia hakutoshi, inabidi mtambue kuwa kuna watu walikuwa wanamtegemea hivyo wasaidieni na wale waliokuwa wanamtegemea.
 
kama mpaka leo j5 hamjui ni muda gani na saa ngapi yatafanyika hayo maandamano kuna ukweli hapo?? Kama mama ananilea nkya nae anakuwa mbabaishaji nashangaa....mseme wapi ili tuje, tusije ishia kusema ikawa kama wale "wa tz waishio marekani waliopanga kuandamana akifika Jk, alipofika kimyaaaa wamelowa kama mbwa mwizi"
tuache porojo, kama tupo serious tuambiane ukweli na tujue tunajipangaje....tena simply ni maandamano ya amani kupinga udhalimu. count me in but nisipopata taarifa mpaka leo jioni sasa ntawawajibisha
 
Kwa mujibu wa chanzo makini maandamano hayo yameandaliwa na LHRC ili kutoa fursa kwa wananchi wengi kuhudhuria bila kujali itikadi. Ni kweli kama yangekuwa ya kichama zaidi kuna baadhi ya wananchi si wanachama au wafuasi wa chama hicho lakini wanachukia malipo ya Dowans hivyo watakosa fursa au watakuwa marginalized katika mchakato huu. Licha ya hivyo, chama cha CDM kitatoa wito wa wafuasi na mashabiki wake kuyaunga mkono maandamo hayo kwa nguvu zote.
 
Countrywide protest against Dowans award Irenei Kiria, the Executive Director of Sikika urged people to dress in black colour for ten days, in memory of the 12th anniversary of Mwalimu Julius Nyerere's death.Seven Non-Governmental Organizations (NGOs) and human rights activists have planned countrywide demonstrations for ten days from Friday, protesting payment of 94bn/- award to Dowans.The Legal and Human Rights Centre (LHRC), Sikika and Hakielimu said in Dar es Salaam yesterday they will take part in the demonstrations. Others are, TAMWA, TGNP, H.D.T and ED-AP200 .Speaking to reporters, on behalf of other activists, Mr Irenei Kiria, the Executive Director of Sikika urged people to dress in black colour for ten days, in memory of the 12th anniversary of Mwalimu Julius Nyerere’s death.“I urge all Tanzanians to pray to God throughout the weekend, to give us the strength and patriotism we need to defend our country’s riches,” said Mr Kiria.He said some people could be beneficiaries of the payments and wondered who could be on the ‘payroll.’“The contract between Tanesco and Dowans was void because it was executed even before the company had been officially registered. Some issues are not yet clear “who is Dowans and why is the government so keen to pay the money?” Mr Kiria wondered. Mr Kiria said the NGOs’ stand is that the government should not pay Dowans at all.“There is need for the government to implement the 23 parliamentary resolutions showing the entire process leading to the Dowans award, said Mr Kiria, adding that next time the government plans to enter into any contract, it should involve both the parliament and the public.By JULIUS BWAHAMA, Tanzania Daily News
 
Serikal ya CCM,hakuna kipindi ambacho wanapaswa kutumia busara katika maamuzi kama kipindi hiki cha sasa.Kitendo cha kuibuka kuyazuia maandamano haya Kiharakati ni kujichimbia kaburi la msiba kabla ya msiba.Manake wasivyoaminika kwa maamuzi yanayoleta dukuduku la utata dakika za mwisho mwisho usishangae polisi wanaibuka dakika za lala salama masaa machache kabla ya wanaharakati hao kuwepo barabara na kusema YATA HATARISHA AMANI ya raia wengine.
Pole ndugu hakuna serikali inayoitwa ya ccm ila kuna kikundi cha mafia na wauaji walioteka serikali baada kifo cha rais wa taifa la tanzania Julius Kambarage Nyerere!
 
Countrywide protest against Dowans award Irenei Kiria, the Executive Director of Sikika urged people to dress in black colour for ten days, in memory of the 12th anniversary of Mwalimu Julius Nyerere's death.Seven Non-Governmental Organizations (NGOs) and human rights activists have planned countrywide demonstrations for ten days from Friday, protesting payment of 94bn/- award to Dowans.The Legal and Human Rights Centre (LHRC), Sikika and Hakielimu said in Dar es Salaam yesterday they will take part in the demonstrations. Others are, TAMWA, TGNP, H.D.T and ED-AP200 .Speaking to reporters, on behalf of other activists, Mr Irenei Kiria, the Executive Director of Sikika urged people to dress in black colour for ten days, in memory of the 12th anniversary of Mwalimu Julius Nyerere’s death.“I urge all Tanzanians to pray to God throughout the weekend, to give us the strength and patriotism we need to defend our country’s riches,” said Mr Kiria.He said some people could be beneficiaries of the payments and wondered who could be on the ‘payroll.’“The contract between Tanesco and Dowans was void because it was executed even before the company had been officially registered. Some issues are not yet clear “who is Dowans and why is the government so keen to pay the money?” Mr Kiria wondered. Mr Kiria said the NGOs’ stand is that the government should not pay Dowans at all.“There is need for the government to implement the 23 parliamentary resolutions showing the entire process leading to the Dowans award, said Mr Kiria, adding that next time the government plans to enter into any contract, it should involve both the parliament and the public.By JULIUS BWAHAMA, Tanzania Daily News
 
Hivi huyu Masoud amewahi kuleta mabadiliko gani Chadema? Au ndiyo yale mambo yetu ya kiswahili ooooh marehemu alikuwa mzuri sana ooooh marehemu alikuwa anmpenda sana mke wake kumbe marehemu mwenyewe alikuwa chapombe kila siku anatukana watu hadharani.
We mtu ametoka kwake D'Salaam kwa ajili ya chama na amekufa akiwa katika mchakato wa kuhakikisha chama chake kinashinda halafu unasema amefanya nini CDM au ndiyo mambo ya kiswahili! Wewe Kukusimba, hebu lione hilo kuna pekee ni kitendo cha kujitoa kulingana na nafasi yake aliyokuwanayo ni imani yangu kama angekuwa na nafasi ya juu zaidi labda angefanya makuu zaidi.
 
Back
Top Bottom